Tetesi: Waathirika wa mabomu ya Osama mwaka wa 1998 Kenya kulipwa hela ndefu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Hilo limeamuliwa na mahakama kuu ya USA, kwamba walipwe hela ya Kenya trilioni 1.2
Aki ya nani hiyo hela ni ndefu sana....
Sijui kama majirani ambao pia waliathirika na wao watapa kitu,

The US Supreme Court on Monday, May 18, ruled that Sudan is liable to pay the victims of the 1998 US Embassy bombing in Nairobi, Kenya, an estimated Ksh1 trillion.

Associate Justice of the US Supreme Court Neil McGill Gorsuch delivered the opinion of the court, in which all other members joined, except Justice Brett Kavanaugh who took no part in the consideration or decision of the case.

"But having decided that punitive damages are permissible for federal claims and that the reasons the Court of Appeal offered for its contrary decision were mistaken, it follows that the Court of Appeal must also reconsider its decision concerning the availability of punitive damages for claims proceeding under state law," reads a section of the ruling.

Rescue workers at the wreckage near the U.S. Embassy following the bombing, in Nairobi, 1998.

Rescue workers at the wreckage near the U.S. Embassy following the bombing, in Nairobi, 1998.
FACEBOOK
The district court had previously entered judgment for the plaintiffs and awarded approximately Ksh1.2 trillion in damages, including roughly Ksh400 billion in punitive damages.

The Court of Appeal held that the plaintiffs were not entitled to punitive damages, a decision that has since been vacated by the US Supreme Court.

“It’s hard to imagine an act more deserving of punitive damages, and we are deeply gratified that the Supreme Court has validated the right of our clients to receive this measure of compensation.

"We are hopeful that this soon will lead Sudan to reach a just and equitable resolution with its victims,” their lawyer Matthew D. McGill said in a statement.

How much each of the victims of the tragic bombing where an estimated 200 Kenyan civilians were killed and 4,000 sustained injuries is not yet clear. But by allowing for punitive damages, the court gave the victims leverage to get a larger settlement.

"The starting point for nearly any dispute touching on foreign sovereign immunity lies in Schooner Exchange v. McFadden, 7 Cranch 116 (1812),

“The jurisdiction of the nation within its own territory is necessarily exclusive and absolute. It is susceptible of no limitation not imposed by itself," the ruling further reads.

Justice Marshall went on to explain that foreign sovereigns do not enjoy an inherent right to

  • be held immune from suit in American courts.

    On August 7, 1998, Al Qaeda operatives detonated truck bombs outside the US Embassies in Kenya and Tanzania.
    Once the dust settled and the departed laid to rest, the victims and their family members sued the Republic of Sudan under the state-sponsored terrorism exception to the Foreign Sovereign Immunities Act (FSIA), alleging that Sudan had assisted the outlawed terrorist group, Al Qaeda, in perpetrating the attacks.
    Rescue workers remove the remains of the car bomb that destroyed the US embassy in Nairobi on August 7, 1998. More than 200 people were killed in the attack.

    Rescue workers remove the remains of the car bomb that destroyed the US embassy in Nairobi on August 7, 1998. More than 200 people were killed in the attack.
    DAILY NATION
US Supreme Court Awards Ksh1 Trillion to Kenya's Bombing Victims
 
hizi kesi zitakua kama wazee wa afrika mashariki hadi unakufa bado hujalipwa

Wazee wa Afrika mashariki walilipwa wote kasoro wa Tanzania, ambao huwa naski pesa zilitolewa za kuwalipa ila mkazipiga juu kwa juu mpaka leo wazee wenu walishajichokea na kujifia.
Muulize mzee yeyote wa Kenya au Uganda, wote walilipwa kila senti.
 
joto la jiwe Geza Ulole
Wakenya kwa kusue tuko vizuri. Hata UK ililipa victims of Colonial torture ksh 2 billion na serikali hio ikaomba msamaha. Hii judgement goes a long way to show that, if you mess with Kenya you will pay through the mouth.
 
Kwa akili za kikenya, mtakua mnatamani mupigwe mabomu mengine ili mlipwe pesa nyingi.
Hizo ni akili zako sema umekosa confidence ya kusema moja kwa moja. Nakushauri siku moja ukifika Nairobi ingia pale Bomb Blast Memorial Co-Op House. Usome majina yote ya wendazao ukutani, uone watu walivopoteza wapendwa wao na wengeni wengi walivobakia na ulemavu permanent.
 
Hiyo hela atailipa nani? Kama Sudan sahau
Kuna taarifa hapo kwenye link ambayo ameitupia humu mwathadan, #7. Sudan wapo kwenye mazungumzo na U.S, kuhusu kulipa hela hizo ili vikwazo dhidi yao vilegezwe na watolewe kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi. Alafu hukumu kama hii kisheria huwa inageuka kuwa 'case law' ambayo inaweza ikatumiwa kwenye kesi zingine kama hizo. Hapo kuna mwanya ambayo Tz inaweza ikaitumia na Sudan wanalifahamu hilo, ndio maana wapo tayari kuilipa Tz pia, iwapo watakubaliana na U.S. Nanukuu kutoka kwa taarifa hiyo ya OWP, "Similarly, he added, Sudan
will make compensations to
Tanzania for the Dar es Salaam embassy bombing."

Kuwa makini jombaa, sio kila mara unawaza tu kuhusu chuki zako dhidi ya Kenya. Shambulizi la kigaidi la '98 lilikuwa na lengo la kusababisha maafa na hasara kwa Kenya, U.S. na Tz pia. Wote walioathirika wana haki ya kupata fidia na kisheria haijalishi ni nchi gani ndio iliwasilisha kesi.
 
Kuna taarifa hapo kwenye link ambayo ameitupia humu mwathadan, #7. Sudan wapo kwenye mazungumzo na U.S, kuhusu kulipa hela hizo ili vikwazo dhidi yao vilegezwe na watolewe kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi. Alafu hukumu kama hii kisheria huwa inageuka kuwa 'case law' ambayo inaweza ikatumiwa kwenye kesi zingine kama hizo. Hapo kuna mwanya ambao Tz inaweza ikaitumia na Sudan wanalifahamu hilo ndio maana wapo tayari kuilipa Tz pia, iwapo watakubaliana na U.S. Nanukuu kutoka kwa taarifa hiyo ya World Peace, "Similarly, he added, Sudan
will make compensations to
Tanzania for the Dar es Salaam embassy bombing."
Kuwa makini jombaa, sio kila mara unawaza tu kuhusu chuki zako dhidi ya Kenya. Shambulizi la kigaidi la '98 lilikuwa na lengo la kusababisha maafa na hasara kwa Kenya, U.S. na Tz pia. Wote walioathirika wana haki ya kupata fidia na kisheria haijalishi ni nchi gani ndio iliwasilisha kesi.
Sawa ila mimi sikuongea kuipondea Kenya,... Nilizungumzia uhalisia tu wa hali ya Sudan.
 
Kuna taarifa hapo kwenye link ambayo ameitupia humu mwathadan, #7. Sudan wapo kwenye mazungumzo na U.S, kuhusu kulipa hela hizo ili vikwazo dhidi yao vilegezwe na watolewe kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi. Alafu hukumu kama hii kisheria huwa inageuka kuwa 'case law' ambayo inaweza ikatumiwa kwenye kesi zingine kama hizo. Hapo kuna mwanya ambayo Tz inaweza ikaitumia na Sudan wanalifahamu hilo, ndio maana wapo tayari kuilipa Tz pia, iwapo watakubaliana na U.S. Nanukuu kutoka kwa taarifa hiyo ya OWP, "Similarly, he added, Sudan
will make compensations to
Tanzania for the Dar es Salaam embassy bombing."

Kuwa makini jombaa, sio kila mara unawaza tu kuhusu chuki zako dhidi ya Kenya. Shambulizi la kigaidi la '98 lilikuwa na lengo la kusababisha maafa na hasara kwa Kenya, U.S. na Tz pia. Wote walioathirika wana haki ya kupata fidia na kisheria haijalishi ni nchi gani ndio iliwasilisha kesi.

Majirani angalieni isije kuwa ni njia ya kuwaswaga kwenda Sudan baada ya kufikia dead end hapo Somalia. Kuweni makini sana maana ndugu zangu nyinyi huwa mnakurupuka sana.
 
Back
Top Bottom