Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA. Karagwe - Kagera. Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Wakuu habari za uzima? Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule? Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula? conductor...
3 Reactions
36 Replies
9K Views
BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameshiriki Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Tabora kilichofanyika Leo tarehe 20 Aprili, 2024 kwenye Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi Ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
-Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo 1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.(...
6 Reactions
50 Replies
19K Views
Wote tumeona na kusikia Kikichotokea Hanang na maeneo mengine kama Arusha, Geita na Baadhi ya Nchi jirani Kwa kukumbwa na Mafuriko na maporimoko ya Mawe na uongo. Kwa tahadhari tu, unapochagua...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5m🤣🙌🏽. Naombeni muongozo!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30 Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Habari wadau, Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna...
0 Reactions
5 Replies
732 Views
Habari, Natafuta mdf board za kituruki ziwe high gross kama zile kwa sasa wanatengenezea makabati ya jikon au tv show case kwa anaejua ni nani anauza hizo board hapa Dar es Salaam atakua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
RAIS SAMIA ANAENDELEA KUWEZESHA FEDHA ZA DHARURA KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia...
0 Reactions
3 Replies
457 Views
Habari Wana JF, Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC. Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Madalali kabla ya kukupangisha chumba/nyumba huwa na maneno mengi mazuri ili utoe pesa, maneno mengine huwa ni uongo pia. Ni jambo gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua kuwa...
4 Reactions
7 Replies
840 Views
Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom