Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka...
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji...
Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG)...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha...
Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari.
Huwa zinatumika pamoja na gypsum.
Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk.
Naomba kujua duka na bei zake.
Habari.
Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo
-Vyumba viwili vya kulala, kimoja master
-Sitting room
-Public toilet
-Jiko
Naomba kuwasilisha
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai Ameuliza, Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa daraja la mto Athumani?
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amejibu na...
Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu...
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa...
Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu.
Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia...
WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara...
KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na...
Naomba kufafanuliwa kunaulazima gani unapojenga kuweka renta Tatu? Msingi baada ya kosi nne (dirishani) unaeka renta ukifika kozi ya kumi renta tena katika hizo ipi ni ya muhumi mnooo na haipaswi...
Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu,
Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa?
Sio...
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo.
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
SEHEMU YA KWANZA
1.HOW I MET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.