Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakuu habari za majukumu. Naomba niende moja Kwa moja kwenye madam. Nataka kujenga nyumba za kupangisha ila nimechagua nyumba aina hii ya nyumba ambazo hazina corridor nyingi. Hili NI wazo tu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
WANAKIJIJI WA KATARYO WAAZIMIA KUJENGA SEKONDARI YAO MPYA NA WAWEKA RATIBA YA KAZI ZA UJENZI Kata ya Tegeruka ina vijiji vitatu na sekondari moja ya Kata iliyojengwa Kijijini Tegeruka. Wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wataalamu na mainjinia majibu tafadhali.
2 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Wasalam... Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele... Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Wataalam wa Saikolojia naomba mnisaidie. Jinsi ninavyo zidi kupata pesa, na ndio idadi ya kutembea na wanawake inaongezeka sana, tena nawapata Kwa urahisi sana tofauti nikiwa Sina pesa Ila...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
SERIKALI KUJENGA DARAJA LA KALEBE NA KYANYABASA – BUKOBA VIJIJINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inakamilisha taratibu za kuanza ujenzi wa Madaraja makubwa mawili ya...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
LIFAHAMU DARAJA LA RUAHA MKUU - MOROGORO Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9...
0 Reactions
6 Replies
943 Views
Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
594 Views
Kuna wanaoshinda kutwa nzima na mafundi apo saiti wakifatilia kila kinachoendelea lengo ni kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Mbinu hii inataka uvumilivu mkubwa maana kushinda tu sehem nayo ina...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials" Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete"...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamvi tuchangiane mawazo tafadhali kwa wale ambao wamekutana na kazi hizi mbili; 1. Mfumo wa choo cha kizamani, namaanisha unamuita fundi anachimba shimo anajengea vizuri kama tunavyofanya...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
BILIONI TATU (3) ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MOROGORO DC Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ina jumla ya Tarafa 6, Kata 31, Vijiji 149 na Vitongoji 733 pamoja na Watumishi wa...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Habari za leo wakuu Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi, Natamani kujua makisio kwa floor 14*17 Naombeni msaada
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5, Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko. Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-, Na ya...
3 Reactions
80 Replies
28K Views
Wanajukwaa Habari, Naomba kuwekwa wazi hivi hizi nyumba za NHC kwa hapa Dar zinapatikanaje? Au wanaoishi hizi nyumba wameshazinunua au hawahami? Mwenye experience kidogo please
3 Reactions
31 Replies
3K Views
WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KOREA KUSINI, WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka nchi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Back
Top Bottom