Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)?
Napitia comments kwa maoni, ushauri na...
Natumai mko poa....
Wandugu mnisaidie ktk Moja na mbili kibishi Kuna eneo likubwa tu nikalipata ...likanikwangua ....ila lenyewe thamani si inapanda....hainiumizi
Ni karibu ekari Moja na robo hivi...
"Maendeleo ya China katika miundombinu ni ya hali ya juu ni zaidi ya mara 100 ya Marekani."
–Elon Musk
Elon Musk aliposema hivyo hakutia chumvi ni uhalisi.
Kihistoria tangu zamani Wachina wako...
Kama somo linavyojielewa hapo juu
Wakuu, wale wataalamu wa ujenzi. Kwa pesa hiyo naona kama sijafikia lengo kwa sababu sijaweka madirisha (drill) kati dirisha 08 mbili tayari mlango (drill)...
MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU.
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya...
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.
Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa...
1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba
Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka.
Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye...
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia...
Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k
Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na...
By expert!!
Designing axial loads for road construction involves several steps to ensure the pavement structure can withstand the expected traffic loads over its lifespan. Here’s an overview of...
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo.
Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona...
NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali...
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini...
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi...
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Image source: Pinterest
Nyumba si gereza. Kutokana na mfumo wa ujenzi wa sasa ambapo tunaweka chuma kila dirisha na baadae tunavisha madirisha ya vioo (Aliminium) ni mihumu kuweka dirisha la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.