MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa...
MAKALA YA 9
Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo
1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo
MSINGI WA JENGO...
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule?
Mwenye mawazo ya bajeti hii na...
KIPAUMBELE CHA SERIKALI KWA SASA NI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MSINGI ILI KUONGEZA UDAHILI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema...
MIKUTANO YA HADHARA NA HARAMBEE ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI
Wito:
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameombwa na wananchi wa baadhi za kata aungane nao...
UFAFANUZI WA HOJA YA GHARAMA ZA MRADI KWA KIPANDE CHA 3 NA 4 CHA SGR KWA WASTANI WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 1.3 NA MILIONI 1.6 MTAWALIA NA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI YA TSH. TRILIONI 1.7...
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana...
Mzee wangu amenipa eneo la kujenga..
Mm ni kijana na mtt wa kwanza miaka 28.
Nimepata kazi ya kujitolea katika taasisi ya umma lakini kwenye suala la malipo yanachelewa hata miezi 3 ila wakilipa...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii...
WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU
Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu...
Nilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawa sawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...
BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika...
Habarini za wakati huu wadau...
Tupo katika dunia au kizazi cha teknolojia na mapinduzi makubwa katika nyanja zote ambazo zinahusu teknolojia na ujuzi, lakini haina maana kwamba waliopita...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba niende moja Kwa moja kwenye madam.
Nataka kujenga nyumba za kupangisha ila nimechagua nyumba aina hii ya nyumba ambazo hazina corridor nyingi. Hili NI wazo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.