Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
0 Reactions
1 Replies
547 Views
BARABARA YA MIANZINI-NGARAMTONI KM 18 KUKAMILIKA SEPTEMBA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Arusha Eng. Reginald Massawe kumsimamia...
1 Reactions
0 Replies
411 Views
ULEGA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA DARAJA LA TANGANYETI LILILOATHIRIWA NA EL- NINO Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemkabidhi Mkandarasi Jiangx Geo Engineering kazi ya ujenzi wa daraja la...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency...
2 Reactions
2 Replies
391 Views
SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025) Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Habari wataalam wa ujenzi? Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao ambazo nitatumia kuezeka nyumba hii ya vyumba vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, stoo na choo cha public. Vipimo ni 11m...
3 Reactions
49 Replies
32K Views
ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa...
2 Reactions
6 Replies
921 Views
RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 . Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz , Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
WAZIRI ULEGA AMBANANISHA MKANDARASI BARABARA YA TUNGAMAA - MKANGE, MKANDARASI AOMBA RADHI AJIPANGE UPYA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Binafsi nimejiwekea kukipa muda kila kitu; kuweka akiba ya maneno wakati mwingine ni muhimu sana. As far as I know; Israel and Iran they know each other. Iran haiidharau Israel kama sisi tunavyo...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, naombeni ushauri wenu, kwa sasa nipo kwenye ili jiji la chalamila jua na mvua vyote ni vyangu. Katika tafakuri zangu za maisha nimepata...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Niende moja kwa moja kwenye topic. Wakuu nina nyumba yangu ipo hatua ya finishing ina square meter 206. Nyumba iko Moshi. Kwa vile sipo karibu nikamuomba fundi anipe makadirio...
8 Reactions
95 Replies
39K Views
Kuna feelings flani hivi ameiziiing Eti wakuu?
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom