Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha. Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii. Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Siku njema wana JF Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika. Je, uliingia kwenye...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na...
1 Reactions
8 Replies
551 Views
Duuh wajenzi tuna shida sana, Nimekwenda kununua cement Leo. Hardware 2 wakaniambia hawana cement. Ikabidi niende dukani Kwa mshkaji ninayemfahamu akaanza kulalamika kwamba hauzi sijui anataka...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari nahitaji Ramani ya Chumba kimoja sebule na jiko , iwe simple not complicated NB ukiwa maeneo ya Morogoro ni contact tuonane Naomba approximation YA HII NYUMBA YA CHUMBA KIMOJA SEBULE NA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
UMEJENGA? Kipi unatamani kingekuwepo kwenye nyumba yako na kipi umegundua hakina mahitaji ya lazima lakin unacho? Let’s share ideas!
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo. Wengi mkinunua kwasababu hakuna...
11 Reactions
15 Replies
3K Views
Umuofia kwenu, Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa...
0 Reactions
9 Replies
427 Views
Hii nyumba inaonekana simpel sana..ila imekula nakshi kali mpaka kuonekana inavutia sana..najua kuna wakali wa hizi kazi humu..hivi ramani yake kwa ndani inaweza kuwaje?;(Najua ni kazi za watu)...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
  • Redirect
Kiwanja kina ukubwa wa 20*30 yaani sqm 600.Kipo Zingiziwa Hospitalini,kinauzwa kwa bei ya Tsh.5,000,000.Kipo flat kabisa,nipigie kwa namba 0786504002 kama unakihitaji.
0 Reactions
Replies
Views
Asalaam aleykum ndugu zangu. Naomba msaada wa picha na ramani ya nyumba za slopu ya kawaida kabisa ili kuokoa jahazi, maana mwenye nyumba niliyopanga ananifanyia vitimbi visivyoisha. Lengo...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habar, Wana jamvi kwema Mimi natafuta kiwanja maeneo ya mwanza ila iwe pembezoni ya jiji
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Bajeti yangu Ni tsh 7milion, wazoefu wa Nyumba rahisi, naomba ushauri is it possible?
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Aisee, wadau wa ujenzi mabibi na mabwana, Imekaaje hii, Nina jamaa yangu tulikua wote bar muda si mrefu, tumeachana kila mmoja aende kwake. Jamaa anasema kafika kwake alikopanga kakuta mlango...
44 Reactions
150 Replies
10K Views
ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom