🏘️ Airbnb Apartments Design - 2 Bedroom Units
📐 Plot Size: 30m x 20m
Each unit includes:
✅ 2 Bedrooms
✅ Spacious Lounge
✅ Open-Plan Kitchen
✅ Dining Area
Ideal for short-term or long-term...
Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?
karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama...
Kipisi cha ardhi mita 30 kwa 20, nje ya mji kanda ya ziwa, nikifanyie shughuli gani ili baada ya miaka mitatu hivi niwe na pesa ya maana?
Karibuni wakuu
Wakuu!
Nipo DAR Kuna kamkopo Natarajia Kupewa Mwez Wa Pili Mwakani.
Wazoefu naomba mnishauri Kama pesa hizo zitatosha
na vp upatikanaji wa bidhaa hizo kwa bei ya jumla na mapendekezo yenu...
Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu
leo nakusogezea hii huwa haisemwi
Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks...
Umekuwa ukifikilia ni namna gan utapendezesha nyumba yako hasa katika ngazi ya ndani (gorofani) kibalazani, au fremu zak (hasa gorofa) na huja pata jibu , basi bado hujachelewa sisi ndo suruhisho...
Hello nilikuwa nataka kuuliza maana kuna watu kutoka board of architects and quantity surveyors' registration board wananifuatilia toka mwezi wa 6 mwaka huu kuwa sijaweka bango hilo la ujenzi, pia...
Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za...
Habari wajenz /mafundi na wajenz wenzangu , naomba ushurik wenu hapa
Nipo katika kujiandaa kuanza ujenzi na nataka nijenge kwanza hatua ya msingi kwanza kutokan na kipato changu naomba makadirio...
6BEDROOMS
SEBULE KUBWA NA NDOGO
JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN)
DINING WITH PATIO
MASTER WITH PATIO
TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Wataalamu habari???
Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi...
Wakuu
Tunatengeneza furniture aina zote
Showcase za kujengea na zakuhamishika.
Makabati ya kujengea na yakawaida.
Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika.
Pia tunatengeneza vibanda vya...
Ndugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata...
maboss zangu wale wenye pub,grosar, cafe, migahawa ya chakula..
nipeni oda niwatengenezee viti imara na vyenye muonekano mzur sana..
Nipo dar mbagala ila ad mikoani tunaenda kufanya kaz.
Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.