Wakuu kwema naombeni ushauri, hilo ni pagale langu nimepiga plasta nimeweka grills na mageti bado sijahezeka ila ninampango wa kuhezeka mwakan nauliza niliweka rafu floor haitokua shida asanten
Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za...
SERIKALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE MWANZA.
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kikamilifu kuleta mapinduzi ya miundombinu katika Jiji la Mwanza kupitia ujenzi wa...
Are you looking for a rewarding career and a chance to serve your community? The Halmashauri (Local Government Authorities) across Tanzania are thrilled to announce a fresh round of job vacancies...
UNAWAZO LA KUANZA UJENZI KARIBU TUKUFANYIE UNIQUE DESIGN YA KWAKO PEKE YAKO
3BEDROOMS KALI SANA
CALL/WHATSAP +255624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
"CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!"...
A House to Call Home – For Sale!
📍 Location: Iyumbu , Dodoma
📐 Plot Size: 1,500 SQM
🏠 Structure:
5 Spacious Bedrooms
Servant Quarters (Self-contained)
Large Living Room
Dining Area...
Tips za ujenzi
Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary
1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana)
2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30
3.Weka treatment nzuri ya waterproof...
Habari....tuna offer kwa ajili ya mashimo ya choo yasiyo jaa! Natoa offer ya kununua mabomba na kujenga chemba zote...karibu boss MIKOA YA DSM, NA PWANI YOTE Shimo moja kwa laki 8 na mashimo...
Mwenye uzoefu na gharama zifuatazo anambie nyumba ina vyumba vinne, jiko seble, vyoo viwili na bafu
Gharama ya plaster=
Kupaka rangi=
Wiring=
Plumbing=
Tiles=
Ukitaka kujipakia rangi kwenye nyumba yako fanya hivi
1. Nunua rangi ya maji lita 10
2. Nunua roll za kupakia rangi
3. Andaa mtu wa kuchanganyia rangi.
4. Nunua color bank zinauzwa buku
Endelea...
On-going project Kigamboni (0624004650)
4 bedrooms, all self. Tunakujengea vifaa unajinunulia
Tunapatikana Sinza, Dar es Salaam.
Mkuzibuilders -check us on instagram for more work
0624004650
🏘️ Airbnb Apartments Design - 2 Bedroom Units
📐 Plot Size: 30m x 20m
Each unit includes:
✅ 2 Bedrooms
✅ Spacious Lounge
✅ Open-Plan Kitchen
✅ Dining Area
Ideal for short-term or long-term...
Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?
karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama...
Kipisi cha ardhi mita 30 kwa 20, nje ya mji kanda ya ziwa, nikifanyie shughuli gani ili baada ya miaka mitatu hivi niwe na pesa ya maana?
Karibuni wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.