Kwanini Vifaa vya Ujenzi vitoke South Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Vifaa vya Ujenzi vitoke South Africa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by vassil, Jan 10, 2009.

 1. v

  vassil Senior Member

  #1
  Jan 10, 2009
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Baada ya kukaa ughaibuni kwa muda mrefu nikawaza kujenga kibanda changu huko mbweni hivyo nikaomba ushauri kutoka kwa ndugu na jamaa.Vitu vingi nikiuliza naambiwa ni vya kutoka South Africa,mabati vigae, bei ya cement ni kubwa saana nikaambiwa ni kwa sababu Cement inapelekwa S.Africa na Congo.Kampuni zetu kama Mbezi tiles nasikia zimekufa.Naombeni mawazo yenu watu wenye uzoefu wa mambo ya ujenzi ndani ya Dar-es-salaam
   
 2. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mawazo gani mkuu? make hujawa specific kama unataka mawazo kuhusu gharama, au aina ya vifaa vya kutumia? Vigae sio vyote vinatoka S.A, nenda Nabaki Afrika utakuta vigae vya aina nyingine, kuna viwanda vingine hapa nchini vimeshaanza kutengeneza vigae(vile vya bati) ofcoz ubora wake sina uhakika nao, bt all in all too much is going on about building materials so inabidi uwe macho usijepigwa changa la macho!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...habari ndio hiyo ndugu yangu, mabati na 'vigae' vya south afrika (actually ni mabati mfano wa kigae) ndio vimeshika hatamu ya urembo kwa sasa, na bei yake mnnhh... mwaka 2006 kipande kilikuwa shs 9,000 mpaka umalize nyumba ya kawaida i.e vyumba vitatu, makadirio kwa wakati huo ilikuwa 9m/= 'vigae' tu.

  ...mbezi tiles bado zipo, ila ujue usipompata fundi mzuri, utabomoa nyumba! mfuko wa cement kwa D'salaam sasa nadhani waweza pata kwa shs 14,500/=. Kuna member mwenzetu hapa fair player waweza muuliza hayo mambo kwa kirefu, jaribu kumtumia private mail.
   
 4. v

  vassil Senior Member

  #4
  Jan 11, 2009
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nashukuru kwa ushauri wenu nitaendelea kufanya utafiti zaidi
   
Loading...