Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Umuofia kwenu, Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa...
0 Reactions
9 Replies
633 Views
Hii nyumba inaonekana simpel sana..ila imekula nakshi kali mpaka kuonekana inavutia sana..najua kuna wakali wa hizi kazi humu..hivi ramani yake kwa ndani inaweza kuwaje?;(Najua ni kazi za watu)...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo...
6 Reactions
75 Replies
7K Views
Asalaam aleykum ndugu zangu. Naomba msaada wa picha na ramani ya nyumba za slopu ya kawaida kabisa ili kuokoa jahazi, maana mwenye nyumba niliyopanga ananifanyia vitimbi visivyoisha. Lengo...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habar, Wana jamvi kwema Mimi natafuta kiwanja maeneo ya mwanza ila iwe pembezoni ya jiji
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Bajeti yangu Ni tsh 7milion, wazoefu wa Nyumba rahisi, naomba ushauri is it possible?
2 Reactions
33 Replies
10K Views
Aisee, wadau wa ujenzi mabibi na mabwana, Imekaaje hii, Nina jamaa yangu tulikua wote bar muda si mrefu, tumeachana kila mmoja aende kwake. Jamaa anasema kafika kwake alikopanga kakuta mlango...
44 Reactions
150 Replies
13K Views
ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwa waliotutangulia kujenga tupeane mbinu za kusimamia mafundi wale wezi wa vifaa vya ujenzi! Je? Ni kuhakikisha unamsimamia kwanzia Asubuhi hadi jioni jino kwa jino ama unatakiwa kumuachia...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi kuna utaratibu gani wa mtu kumiliki kihalali kiwanja ulichopewa tu kwa maneno bila nyaraka zozote? Ipo hivi kuna kiwanja kilikuwa ni cha bibi yeye hana nyaraka zozote, kisha baada...
1 Reactions
8 Replies
869 Views
"Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu binafsi nafikiri siyo sawa kujisifu umepanga nyumba nzuri, bora zaidi ukiwa na mjengo wako mwenyewe maana ujenzi ni mgumu na unahitaji mchakato. Ukiona mtu kajenga mheshimu sana.
6 Reactions
8 Replies
939 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm. Mfano wake hizi za bafuni
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Naona mafundi bomba huku mtaani wengi bado wanapenda kujenga hizi chemba za kawaida (inspection chambers) katika mfumo wa maji taka wa nyumba (drainage system) Kama upo kwenye ujenzi, utajenga au...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri.
1 Reactions
5 Replies
748 Views
Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami...
4 Reactions
58 Replies
10K Views
Wakuu za jioni? Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Kuna kibanda nimejenga mahali na nimempiga vizuri tu. Tatizo lililopo ni mchwa wanaojipenyeza na kutukezea juu. Niombe mwenye kujua dawa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom