Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Wakuu nilikuwa naomba kujua gharama za frameless glass doors kwa sqm. Mfano wake hizi za bafuni
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Naona mafundi bomba huku mtaani wengi bado wanapenda kujenga hizi chemba za kawaida (inspection chambers) katika mfumo wa maji taka wa nyumba (drainage system) Kama upo kwenye ujenzi, utajenga au...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi? Asanteni kwa ushauri.
1 Reactions
5 Replies
748 Views
Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami...
4 Reactions
58 Replies
10K Views
Wakuu za jioni? Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Kuna kibanda nimejenga mahali na nimempiga vizuri tu. Tatizo lililopo ni mchwa wanaojipenyeza na kutukezea juu. Niombe mwenye kujua dawa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ndugu naomba kufahamu mahali naweza kupata acrylic sheet
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naam!, ijue kwanza nyumba yako kabla haujaijenga! Ukiijua vizuri nyumba yako kabla haujaijenga utapigwa sana na utamaliza hiyo nyumba umechoka sana! Hapa kupigwa kupo kwa namna nyingi ama...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi tukiungana wanaume 4 tukaanzisha kampuni ya ujenzi!, Yaani hapa lengo kuu sio kampuni ya ujenzi hapa lengo kuu ni kumiliki nyumba ya ndoto zetu! Ukiwa na milioni 10 huwezi kujenga nyumba...
4 Reactions
1 Replies
572 Views
Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]
13 Reactions
129 Replies
14K Views
Naaanisha shimo, Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Technologia imekua sana. Kama ukoo chooni au bafuni Satelaiti zinakuona. Hivyo basi Choo na Bafu ambazo hazina paa ziwe na paa.
1 Reactions
7 Replies
841 Views
Mabingwa wa ukadiriaji hebu chakateni mlinganyo hapo nataka nimjengee mchepuko kajumba kadogo Sasa hizo bati zinatosha vyumba vingapi?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi...
14 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari za mchana wakuu? Ninaomba wenye uzoefu na maswala ya ujenzi mnisaidie hapa. Kulingana na ramani hii, mpaka nyumba ikamilike inaweza kutumia tofali ngapi na bati ngapi? Nawasilisha.
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Habar wakuu...mdogo wenu Jana nimechezea zile za TRAB na TRAT..kwa kufikisha mchanga site bila kuwa na Kibali...naombeni kufaham process huwa zipoje maana wale mabwana wale....ni balaa rushwa nje...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua...
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Habari, Naomba msaada kama inawezekana kukenga hizi nyumba za kisasa kwa kutumia tofali za kuchoma hidden roof Huku ninapo kaaa nyumba nying za kawaida wamejenga kwa udongo pamoja na tafali za...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya...
8 Reactions
58 Replies
10K Views
Tasnia ya ujenzi imetoka mbali Sana, Hili linaitwa jengo la flat iron, jijini New York Waweza kupata picha dunia ilikua na wakandarasi wa ubora gani mpaka kusimamisha jengo refu la gorofa 22...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom