Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akimjibu Godbless Lema Ukurasani X Mbunge wa Nzega vijijini anesema tuzidi kuomba Mungu yanayotokea Msumbiji sasa yasije kutokea Tanzania Dr Kigwangalla amemwambia Lema " afadhali Wewe family...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Pamoja na polisi kuwa mnafanya kazi yenu vizuri ila Kuna wakati mnasumbua sana hasa mkiona magari mapya, na lengo la usumbufu wenu ni kuombaomba ela. Nadhani kwa Arusha inabidi mtupumzishe kidogo...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Tafadhali wale mlio karibu na magezeti msiache kuchukua makala ya hili gazeti ni muhimu sana kwa kumbukumbu za watoto wetu hapo baadae jinsi wapigania mabadiliko walivyogeuzwa ghafla kwa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia! Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais...
2 Reactions
13 Replies
903 Views
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu… Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM… Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…...
28 Reactions
142 Replies
6K Views
Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano...
3 Reactions
23 Replies
939 Views
Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine. Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika...
1 Reactions
3 Replies
537 Views
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM. Uongo hadi Shetani anashika mdomo...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
UJASUSI - NANI NI AUTHORITY HALALI(KISHERIA)? Sakata la kumpata mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo limeibua mambo mengi miongoni mwa kambi pinzani ndani ya chama, ikiwa ni matokeo ya...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama ni kweli Mtu unalipwa Ili umchukie Mtu mwingine basi hii dunia imeshapinduka Kumchukia Mtu ni kujitesa Wewe mwenyewe tu Ila Chadema 🐼
0 Reactions
8 Replies
256 Views
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini...
26 Reactions
90 Replies
3K Views
Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini, 1. Visima vya maji, 2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD), 3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara...
1 Reactions
18 Replies
936 Views
Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana...
2 Reactions
6 Replies
666 Views
Dr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE" Majadiliano Ukurasani X
1 Reactions
13 Replies
731 Views
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Yeriko Nyerere amelalamika Ukurasani X kwamba anatukanwa kuwa yeye ni Chawa ila wanaomuunga mkono Tundu Lisu wanasifiwa Yeriko amesema huu ni Wendawazimu Endeleeni kula mtori nyama mtazikuta...
13 Reactions
94 Replies
4K Views
Tunasema ni Wiki ya Omega kwa sababu kesho Jumanne tunaufunga mwaka 2024 Tunasema wiki ya Alfa kwa sababu kesho kutwa Jumatano tunauanza Mwaka mpya wa 2025 Tunaufunga mwaka huku Habari za Tundu...
2 Reactions
7 Replies
423 Views
Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…