Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoendelea Chadema Kwa sasa Siyo demokrasia bali ni ushamba na upuuzi mtupu Viongozi wanatukanana kana kwamba hawana familia makwao Mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa na wajumbe 1200 tena Kwa...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Hatimaye alikuwa kimya sana tangu ameteguliwa lakini sasa January Makamba ameibuka kwenye kampeni za kuwanadi wagombea wa chama chake CCM ===================== Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hata baada ya yule "Herode" aliyewatishia katika Nchi ya ahadi kufa, Bado familia hizi zimefichwa Ubelgiji na Canada. Na mara nyingi, kukitokea Hali ya hewa isiyo nzuri nchini, mabwana Hawa...
-1 Reactions
2 Replies
393 Views
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma...
33 Reactions
428 Replies
25K Views
Ikiwa ni Chombo cha Habari cha Kimataifa au cha Tanzania, au hata kama wewe ni mtu Binafsi, ukitaka Mdahalo na Wagombea wa Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani, basi wala si kazi ngumu, Nenda...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Huyu Ndiye Pombe Magufuli: - Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe - Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli...
28 Reactions
286 Replies
46K Views
Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Tayari wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali za chadema taifa na wajumbe wa mkutano mkuu wameanza kushikana, uchawi, kulaumiana na kutuhumiana kufanyiana ushirikiana kuelekea katika chaguzi za...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025)...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika...
0 Reactions
3 Replies
582 Views
Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi 1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni...
1 Reactions
4 Replies
488 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake Nyumba...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila === Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao...
23 Reactions
72 Replies
7K Views
Lissu Kaamua Kufichua Siri za Mbowe Rushwa Ubadhirifu wa fedha za chama, ikiwemo kukodisha chopa wakati wa kampeni Ubinafsi Udikteta Na mengine mengi
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Wakuu, Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji. Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Narudia kwa mkazo wakati natoa wito kwa wagombea, wanachama na mawakala wa wagombea kuzingatia katiba kanuni maadili na itifaki ya chama katika mchakato mzima wa uchaguzi.” “Hata hivyo katika...
2 Reactions
8 Replies
876 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…