Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga...
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.
Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na...
Naona mchomi ameandika ktk x yake yeye ni mbunge wa chadema 2025- 2030 ili hali hajapitishwa hata chama ambacho ndio chenye mamlaka, au kuenguliwa na tume au kushindwa kabisa na ccm.
Bado siwaelewi
Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA.
Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa...
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:
1. Nina shughuli yangu sitaki...
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti...
Salaam wakuu,
Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu.
Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu.
Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma...
Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame...
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.
NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.
Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia...
Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu.
Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano...
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024...
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye...
Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii...
Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ?
Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo...
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka mitandaoni, kwamba Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei amepata Msiba wa Mdogo wake, hivyo baadhi ya Wadau wameshiriki katika kuwapa faraja Wafiwa.
Pichani ni...