Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.
Maana...
Habari Ndugu zangu? Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nianze kwa nukuu ifutayo.
"HAKI HAIPASWI TU KUTENDEKA BALI YAPASWA KUONEKANA IMETENDEKA"
Kwa sasa wengi wetu tumejawa...
wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi.
Je na ile sheria inayowapa nguvu...
BAADHI YA MWASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Ndugu WanaJamiiForums naomba mnisaidie katika hili swala. mimi ninamwanake ambaye nimeishi naye muda wa miaka 6, tukabarikiwa kupata mtoto mmoja ana...
Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana.
Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki...
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?
Naomba kujua vigezo...
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini...
Excerpt from the CA judgement........... Consequently, we invoke the provisions ofsection4(2)of the AJA to revise and nullify the proceedings of the CMA with respect to the evidence of PW1 and DW1...
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika...
Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa...
Wakuu salaam!
Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani.
Yanayoendelea kwenye kesi...
1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema...
Ndugu wanajamvi. Napenda kujulishwa endapo watumishi wawili wamekubaliana kubadilishana vituo vya kazi kutoka mkoa 1 kwenda mwingine. Barua zao zikaenda kunakohusika lakini ikabainika mtumishi 1...
Wakuu habari,
Nina mshkaji wangu yupo Morogoro, wana kesi walishtakiwa ya kiofisi Tangu mwaka 201, upande wa Jamhuri walileta shahidi mmoja tu, ishapita miezi hawajaleta shahidi mwingine, Sasa...
Naomba kufahsmishwa na wajuvi wa sheria nafasi ya mwananchi anayegundua kuwa shahidi aliyeapa mahakamani amedanganya taarifa zake binafsi, taarifa husika ni jina kamili, umri, kabila na elimu.