Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo;
i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa...
1. Kwamba kulikuwa na Ndoa halali
2. Kwamba, kuna mgogoro kati yenu wanandoa na jitihada za kusuluhisha zimefanywa lakini imeshindikana.
3. Orodha ya watoto wa ndoa na umri wao.
4. Orodha ya mali...
Hivi,
Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua...
A message comes in.
“Hi Counsel, can I quickly ask something?”
Then a 5-minute voice note follows.
Then documents.
Then another voice note.
Before you realise it, you have:
- analysed the...
Habari wakuu,
Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka...
Habari,
Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.
Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu...
Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea.
Badala ya askari kuonekana kama...
Habari za leo wakuu?
Kwa wale wataalamu wa taratibu na sheria za ajira za Tanzania naomba ushauri juu ya muajiri huyu na ni hatua zipi kama muajiriwa napaswa kuchukua kabla ya kusaini mkataba wa...
Elimu ya sheria kuhusu usajili wa Makampuni nchini Tanzania.
(Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of...
Wananchi wa Kata ya Mcharo, Wilaya ya Bunda, wanaomba mamlaka husika kuchunguza tuhuma za rushwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mcharo.
Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya wananchi hukosa haki...
Heri ya Mwaka mpya wana JF,Nilikuwa naangalia CNN Connect of the day kuna huyu Bwana alikuwa akiongea someni kipi kilichompata.Mtu anaweza kuhukumiwa kunyongwa wakati akiwa hana makosa...
Kabla ya kuanza biashara, ni muhimu kuchagua muundo unaofaa malengo yako. Muundo wa biashara unaathiri usimamizi, uwajibikaji, ulipaji kodi & ukuaji wa biashara.
Zifuatazo ni aina kuu za miundo...
Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake:
Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession).
Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria...
Kwa suala hili, wewe una mtazamo gani?
Kijana kufungwa miaka 30 jela kwa kumpa mimba mwanafunzi ambaye, kwa mtazamo wa baadhi ya watu, alijitambua na hakulazimishwa, kisha kijana afungwe miaka 30...
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi...
Eid Mubarak to all celebrating.
Mimi ni Mtanzania halisi, miaka miwili nyuma nilinunua kiwanja huko kisiwani Zanzibar chenye thamani ya million 2.5.
Tulienda kukiangalia kiwanja kisha...
Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
Elimu ya sheria: Kuhusu
namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria.
Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata...