Hivi ile kesi ya DECI, ile kampuni ya kupanda na kuvuna imeishia wapi?

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
 
Back
Top Bottom