Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

msaada wakuu unapokuwa umetenda uhalifu ukakamatwa na kuwekwa lock up kwenye kituo cha polisi, ni mazingira gani yatakayo kuwezesha kupata dhamana ya polisi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani wakuu, Naombeni ushauri, nataka kununua kiwanja, kwa sh.7,000,000 mshikaji anayeniuzia nimepeleleza ni kweli ni chake na ndio anayetambulika na majirani.Tatizo lipo kwenye mauziano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF nimesoma katika magazeti ya jana na leo kuhusu amri iliyotolewa na mahakama kwamba gorofa 12 kati ya 18 za jengo lile lililojengwa pale karibu na ikulu zibomolewe! Hii kitu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani...
0 Reactions
150 Replies
18K Views
Nilinunua pikipiki then nikampa mtu kwa mkataba wa kuniletea elfu kumi kila siku na matengenezo ni yake, ila baada ya mwaka pikipiki inakuwa yake, lakini mtu huyu anaweza kukaa siku tatu ajaleta...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Tajiri wa lake oil na ulawiti wa mfanyakazi wake Barua ya mlalamikaji kwa Waziri Mkuu Mlalamikaji katika barua yake kwa Waziri Mkuu, anaanza kwa kusema, "Mheshimiwa, jina langu lipo hapo juu ni...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnipatie template ya sale agreement in both swahili and english language tafadhali, nataka niuze kibajaji changu in a more sophisticated way to avoid probable inconveniences.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hivi majuzi nilipata nafasi ya kuudhuria kesi ya jiran yangu ambaye ni fundi radio aliyekamatwa na vitu vya wizi katika ofisi yake ya kazi, wiki moja...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Introduction: An In house Counsel is a Lawyer employed in a corporate to handle specialized tasks such as Tax work, mergers and acquisitions, Labour Laws and Intellectual property, something...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna shamba ambalo kwa sasa ni kiwanja.Mzee/baba alinunua mwaka1985 heka 2.5.Alijenga nyumba ndogo ya mlinzi miaka ya tisini.Miaka ya 2000 mwanzoni akataka kuanza kujenga nyumba Kubwa lakini...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 NA VIBOKO 12 BAADA YA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI WA MIAKA 19..!! MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Jana natoka zangu ofisini jioni hii niko kwenye foleni, dereva kibajaji kaja na abiria wake 3 wanaume kawapakia kwa nyuma. Akanipigia honi na kunionyesha ishara ya kuomba aingie kwa mbele kwani...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Habari wadau,Naomba kujuzwa utaratibu wa kuchukua likizo bila malipo kwa taasisi za umma ukizngatia nina makato ya mkopo kwa kila mwez kwenye mshahara wangu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Salam wakuu, mimi naomba kuuliza kama kuna applicability ya 'Double Jeopardy' kwa sheria za nchi yetu. Yaani kwa mfano,lets say mtu alikutwa na hatia katika kesi ya mauaji na kuhukumiwa maisha (...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nadhani nimeleta uzi mahala pake, kama unaifahamu,ningependa kujua na address zake,email etc asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wa kisheria jamani, ni kwamba kuna jamaa yangu amemshikia dhamana rafiki yake ambae anakesi ya madai ya kama milioni 15, maana yake nikwamba mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana na alitakiwa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Mimi ni mfanyabishara wa bidhaa ndogo ndogo dukani. Siku chache zilizopita kuna mteja alikuja dukani kwangu kupata huduma, baada ya kumhudumia alinilipa pesa ambayo kwa bahati mbaya sikuwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtu anapokua amevamia kiwanja chako na kujenga malalamiko yako unapeleka wapi, ofisi gani na kama ni barua ya malalamiko unaandika kwa nani? Ukiamua kuvunja kilichojengwa sheria inasemaje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
​Mie ni mteja wa BANK moja hapa mjini, mwaka jana jamaa yangu alinilipa pesa kwa njia ya inter bank money transfer kiasi cha 5000USD , matokeo yake bank wakai double ikawa 10,000USD,Mie...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom