Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

NIMESHAPELEKA PROPOSAL NYINGI SANA KATIKA MAKAMPUNI BINAFSI, TAASISI NA MASHIRIKA YA SERIKALI, LAKINI MAJIBU NINAYOPATA NI "IDEAS ZAKO NZURI BUT HATUNA HELA AU SUBIRI" kinachonisikitisha ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Learned Brothers, Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiona udhalilishaji wa wazi wazi ukiendelea na kudakwa na magazeti pendwa kwa wingi ili kuuza na kujipatia fedha bila kujali damage inayoachwa kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa taratibu za kushtaki mtu unayemdai fedha......yaan unaanzaje anzaje
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umefika wakati uvumilivu sasa basi! Tumeshuhudia/tumesikia Watumishi kujinyonga kwa maisha magumu(hasa walimu), Wananchi kujinyonga kwa maisha magumu, Wanafunzi kujinyonga kwa matokeo mabaya wala...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
samahani wana JF naomba ufafanuzi wa kisheria kwa anayejua naweza kumfungulia mashitaka polisi akiwa na dalili za mtu aliyetumia kilevi na hasa pombe akiwa kazini na huku akiwa amevaa nguo za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wanabodi. Sheria inaeleza vipi ktk kufanya kazi "over time"??? Mf. Siku za mwisho wa wiki (Weekend) kuagizwa kufanya kazi. .
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Katika mahakama ya wilaya ya Bunda -Mara kuna wafanyakazi wanaoitwa makarani. Sasa ukienda pale ili ujaziwe fomu halafu usainiwe na mh. Hakimu unaombwa hela ati hakimu hawezi kusaini bila hela...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania. Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia...
2 Reactions
137 Replies
25K Views
Habari wadau,nimesimamishwa kazi toka mwaka jana mwezi wa6 kutokana na mwajiri kukosa kazi tukakubaliana ikipatikana kazi nyingine nitarudishwa kazini nimekaa muda wote nikisubiri kazi cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu aliitwa kufanya usaili katika shirika moja binafsi. Aliomba kazi baada ya kuona matangazo gazetini. Baada ya muda alipigiwa simu na kujulishwa amefaulu zoezi la usaili, hivyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtakumbuka mwezi uliopita mnamo 27.01.2014 na kuendelea kulikuwa na mjadala mkali ulioshika hatamu kwenye vyombo vya habari, ambapo waziri wa kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka alitoa tamko la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Itifaki imezingatiwa, ningependa kujua kukata affidavit ina gharimu shilingi ngapi? maana juzi nilienda mahakamani nikamkuta jamaa akaniambia eti nimpe elfu kumi ya kitanzania. Machale yakanicheza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nawasikia watu wengi wakisema eti tukiharibu hapa tutakuwa tumejiharibia miaka mingine 50 mbele!Ama utasikia Kenya wameanza kujuta kwa kupitisha katiba waliyodhani ni mkombozi na sasa magavani wa...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Wale viongozi wa jumuiya ya UAMSHO leo hii wameachiwa huru kwa masharti ya mahakama. Viongozi hawa wamewaamsha Wazanzibari kwa kudai nchi yao kutoka kwa wakoloni Tanganyika na ndio kama tunavyoona...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Ndugu zangu wanajamii naomba kujuzwa kuhusu hili. Mfanyakazi anakuwa na haki gani ama kama kuna malipo yoyote pale mkataba wake wa kazi inapokatishwa ghafla.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesoma hii kipande nkaona ni vyema tuwekane sawa kwenye gazeti la mwananchi wanasema mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote sasa kama hivi nahisi wakati muafaka wa kukimbilia rufaa...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
"kujichukulia sheria mkononi" kwa lugha ya kisheria kwa kiingereza yanasemekaje!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahanin naombeni kujua.Je kwa mtu mwenye diploma ya accounts upper second anaweza kuchukua degree ya sheria .mliman au mzumbe...?
0 Reactions
1 Replies
977 Views
I salute you all! I 'm writing this thread on behalf of my uncle in regard to his request for legal advice. The below information I'm going to provide is obtained from him and quoted in full...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom