Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
MaWakili wanatetea wavuvi haramu toka nje ya nchi, Wakili wanatetea wauaji wa albino, wakili wanatetea raia wa nje waua tembo wetu, wakili wanatetea wala rushwa wakubwa za EPA, NDEGE YA RAIS, BOT...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Je,wakili ni mwanasheria? nakama jibu ni ndiyo inakuwaje ana uwezo wa kumtetea mtenda dhambi ilhali anafahamu ukweli?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Traffic marshalls to take over city roads from March Written by CHARLES MUGAMBI, posted on Feb 4, 2014 (10 hours ago) A NAIROBI COUNTY TRAFFIC MARSHALL AT WORK A traffic marshal at work...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanzo mwanzoni,natoa taarifa hii si kama Kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika,yaani TLS. Natoa taarifa hii kama Wakili Msomi wa kawaida sana ambaye ningefurahi kuona Mawakili Wasomi...
3 Reactions
124 Replies
11K Views
Habari jf...... Mimi ni fundi wa sofa,sina ofisi permanent huwa nafanya kazi sehemu napopata kazi ila tangu mwezi wa tisa mwaka jana (2013) kuna shemeji yangu alihitaji nimfanyie kazi zake katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiwa mmeishi na mwanamke kwa muda wa miaka takribani miwili bila ndoa halali ? naombeni msaada nataka kutoa talaka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF. Endapo mtumishi wa umma (mwalimu) amepata barua ya kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine na alikuwa na madai ya mapunjo ya mishahara ya miaka kadhaa. Alishaprocess madai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, Mnamo March, 2013, nilisaini mkataba wa kupangusha nyumba hapa Arusha kwa miezi sita(2,100,000) kwa maandishi. Bahati siku chache kabla ya kuhamia nikapata uhamisho na nikamjulisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, Nilisaini mkataba wa maandishi kupangisha nyumba hapa Arusha mwezi wa March, 2013; kwa miezi sita (marh - september) 2,100,000 bahati mbaya siku chache kabla ya kuhamia nikahamishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear colleagues, I would like to share with you my recent publication on registration of SIM cards and the protection of the right to privacy in Tanzania. The article analyses the Electronic...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi Ni Binti Wa Miaka 20. Nafanya Kazi Katika Kampuni Moja Ya Ulinzi Mwanza. Katika Eneo Langu La Kazi Kuna Jenereta Lilibiwa Lakini Polisi Waliipata Lile Jenereta Na Ofisi Wakalichukua. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ngo
Habari za Jumapili wa JF. Naomba msaada wa muongozo namna gani naweza kuanzisha NGO, vitu kama masharti na ntapataje registration yake! kwa kifupi utaratibu mzima ukoje?
0 Reactions
0 Replies
902 Views
habari wataalamu wa sheria...nikiwa mtumishi wa taasisi ya umma na nimeomba kazi tume ya utumishi wa ajira kwa post ya juu kuliko niliyopo na nikafanikiwa kupata, nimemfuata mwajiri wangu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wana JF, Leo asubuhi nimekamatwa na askari wa usalama barabarani nikiwa naendesha gari. Vibali vyote ninavyo tatizo ni kioo cha mbele (Wind Screen) ina ufa nikaambiwa hili ni kosa na huna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi niliolewa na mme wangu miaka kumi iliopita tulianza maisha tukiwa jijini mbeya tuliyaanza maisha tukiwa tunafanya biashara ndogo ndogo atimae tukaanza kufanya biashara kubwa na atimae...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu kaishi na mume wake miaka kadhaa bila kumzalia mtoto bado wanaishi wote. Mume wake amezaa watoto wa kike na wa kiume nje ya ndoa yake. Kwa kuwa wao ni mume na mke mali zao zote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau naombeni mnisaidie kuhusu sheria inavyosema kuhusu watoto wa nje ya ndoa aliowazaa mwanaume. Je watoto hao wa nje nao wanayo haki ya kurithi?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Under What Instance Did Ignolance Of Law Be An Excuse In A Climinal Charge
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom