Kuna dhamana hapa, na adhabu gani waweza kupewa?

dhk1

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
918
535
Salamu kwa wote,

Jamani nilikuwa naomba usaidizi wa kimawazo kuhusu hii ishu. Apo juzi kati katika pitapita zangu mtaani nikiwa napita njia flani nikakuta watu wamefunga njia nikawapigia honi wapi wakakataa kutoka ikabidi niwasogezee gari hadi karibu yao.

Ndipo walipotoka ila baada ya kupita mmoja akaanza kumwaga matusi makubwa ya sana, nikaignore na kuendelea na safari yangu kufika mbele kidogo nikaingia supermarket kumbe wale vijana walikuwa bado wananifuatilia.

Sasa ile nashuka kwenye gari wacha nitukanwe hadi kunitishia maisha. Nilienda kuripoti na leo nimeitwa mahakamani sasa cha kushangaza msoma mashtaka ajasoma ishu ya kutishiwa maisha.

Je, hii kesi ya matusi mtu hupewa mdhamana na je ni adhabu gani atapewa mtuhumiwa.

Nawasilisha ushauri wenu utanisaidia sana
 
dhamana wanaweza kupata sababu ni bailable offence mheshimiwa
 
Atii lazma aonje joto ya jiwe af m ctumii kiroba
 
Back
Top Bottom