Mara nyingi nisomapo makala ndefu za Kiswahili sikosi kukutana na angalau neno moja la Kiswahili linaloonekana kuwa jipya kwangu. At the same time, the same article may contain a few familiar...
Wabongo wengi tumezoea kumuita Nairobi Fly, mara ya kwanza kujua kuna mdudu kama huyu ilikuwa mwaka 2005 nikiwa A level. Niliposikia wanamuita Nairobi Fly nikajua kuwa ni wadudu wenye asili ya...
TABIA YA MUUNGWANA
Kuno kunena kunena, leo nalinena hili
Nalinena kwa mapana, kwa lugha ya kiswahili
Tabiaze muungwana, si mtu wa ndimi mbili
Kutosheka na akali, tabia ya muungwana.
Nawala hawi...
Kumekuwa na changamoto kwenye lugha ya Kiganda, tafadhali anayejua maneno mepesi yatakayomsaidia Mfanyabiashara kubargain biashara kwa lugha hii anisaidie.
Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa napenda nianze kwa kukiri kuwa Kiswahili bado ni lugha inayonipiga chenga pahala pengi. Hivyo kuna pahala pengi katika hoja yangu nitachanganya na lugha ya Kiingereza, pamoja na...
Uwapi Ewe Kivuyo Mwema..?
Ewe Kivuyo mwema, nduguyo nakusalimu
Jangwani hali si njema, nawe pia u-adimu
Mpira si lelemama, ligi hii si ya chandimu
Uwapi Ewe Kivuyo Mwema?
Habari zimenifika...
Can anyone please help me with the translation of the word "ritual" into Swahili?
I am thinking in the meaning of religious ritual.
For example, priests in the Old Testament had to wash before...
ALLY BIN SAID BIN RAASHIDI JAHADHAMIY
Ushairi katika Afrika ya mashariki umekua na historia ndefu,historia ambayo ipo inayo julikana wengi na zipo ambazo zinajulikana na watu wachache mno,na...
Habari zenu ndugu.Hivi karibuni nimegundua nina uwezo(sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali,zikiwemo za elimu,uongozi bora,biashara na hata michezo.
Hivyo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ilizembea kupata fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini...
Wadau naomba kuuliza, kwa wale wanaopenda kufuatilia kazi za riwaya za Prof. E. Kezilahabi watakuwa wanafahamu riwaya ya Rosa Mistika. Nimekisoma sana kitabu hiki ila sifahamu ni kwa nini serikali...