Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Wakati unaandika au unaongea kingereza frikra zako zinatakiwa kuwa kwa kingereza na hivyo hivyo ukiandika au kiongea kiswahili fikra zako zinatakiwa kuwa kiswahili.
Sijui kwa nn mwanaume akimwambia mwanamke "marry me" iv sio sawa na kusema "nioe"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maelezo,Wakati unaandika au unaongea kingereza frikra zako zinatakiwa kuwa kwa kingereza na hivyo hivyo ukiandika au kiongea kiswahili fikra zako zinatakiwa kuwa kiswahili.
Utakapo kua unaongea au kuandika kingereza huku fikra zipo kiswajili una translate kingerza uatapata shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipo lipo comment #2 kwa maswali yako yote mawiliAsante kwa maelezo,
Kwahio tafsiri ya hapo juu ukiwa na mawazo ya Kiingereza ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume huyu ameolewa
Mwanaume huyu ameolewa
Mosi...kauli hii inakuwa ngumu kuifasiri kwa sababu katika utamaduni wa waswahili mwanaume haolewi na kumbuka lugha ni sauti za utamaduni
Pili....neno "marry" lipo katika kauli ya kutenda na kutendeana kwani hata neno "married" ambalo watu wanajua linamaanisha "ameolewa" sio sahihi sana bali linadokeza wakati uliopita wa kitendo hicho kwa jinsi zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia by someone.. mweka mada atatusumbua tu huyu! Mwishowe tutafika kwa vishazi vihisishi na kandamizi bila kusahau vishazi fumanizi.😜
Kwa kuongezea hapa ni kwamba kuoa/kuolewa katika Kiingereza wanatumia "Kisifa" yaani adjective. Kwa hiyo, " Married" pale inatumika kama adjective na sio verb.Mwanaume huyu ameolewa
Mosi...kauli hii inakuwa ngumu kuifasiri kwa sababu katika utamaduni wa waswahili mwanaume haolewi na kumbuka lugha ni sauti za utamaduni
Pili....neno "marry" lipo katika kauli ya kutenda na kutendeana kwani hata neno "married" ambalo watu wanajua linamaanisha "ameolewa" sio sahihi sana bali linadokeza wakati uliopita wa kitendo hicho kwa jinsi zote
Sent using Jamii Forums mobile app
mbaya zaidi akieleweshwa anabisha hivyo yeye anajua zaidi.Malizia by someone.. mweka mada atatusumbua tu huyu! Mwishowe tutafika kwa vishazi vihisishi na kandamizi bila kusahau vishazi fumanizi.