Mzee_2015
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 255
- 58
Wadau wa jadwali hili leo nakuja na somo jipya.Jifunze baadhi ya majina ya Matunda Na mboga mbali mbali kwa lugha ya Kifarasa.Kama wengi wenyu mlivyopendekeza ktk coments zenyu Nilizifanyia kazi kisha Nakuja na somo hili jipya.
Hamna mtaalamu anae jitosheleza bila kukumbushwa au kukosolewa !!!! Kama kawaida Naombeni Maoni yenyu ... ( kwa maoni zaidi waweza ku pm)
Jenga bila kuponda!!!!!
Ahsateni.......
Fruits Et Légumes[Frrwi e legum] ( Fruits and Vegetables)
Une Pomme[un pom]
Un Avocat [n avoka]
une banane [un banan]
un chou [n chuu]
une carotte [un carote]
une orange [un orrang]
des ananas -un ananas [dez ananas - n ananas]
des tomates -une tomate [de tomat -un tomat]
Hamna mtaalamu anae jitosheleza bila kukumbushwa au kukosolewa !!!! Kama kawaida Naombeni Maoni yenyu ... ( kwa maoni zaidi waweza ku pm)
Jenga bila kuponda!!!!!
Ahsateni.......