Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wanabodi, Kuna mapengo hayazibiki mfano la mwimbaji na mtunzi nguli Captain John komba ndani ya ccm kwa nyimbo zake na tunzi ndivyo kwenye lugha ya kiingereza hasa kwa watanzania Ben Mkapa...
23 Reactions
50 Replies
7K Views
Dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji. Nyuma yake unatengeneza lake/pond, Ziwa/bwawa. Ukuta huo unaitwaje kwa kiswahili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WASEMAVYO WANAFASIHI: "...Kusema haya na haya, duniani kuna vilima na mabonde; kuna kupanda na kushuka; kuna mashaka na raha. Yote hayo hayaendelei, likawa moja tu hilohilo kila siku. Unapanda...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye...
18 Reactions
167 Replies
18K Views
Hili tatizo lipo kwa Watanzania wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si Kiingereza. Mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Eti wazazi wa mkwe wako (Mke au Mme wa Mwanao) kwa Kiswahili unawaitaje?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naomba kujuzwa hivi hakimu mkazi manake nini hasa ni yule anaekaa karibu na mahakama au anaishi karibu na mahakama nielewesheni wataalamu wa lugha,nawasilisha! ===== Mahakama...
2 Reactions
100 Replies
32K Views
Nimekuwa nasikia maneno haya lakini yananichanganya kujua matumizi yake sahihi. Vukiza au fukiza? Vundika au vumbika? Kompyuta? Mtandao ila ingawa msanii puchu mkwara mwake chuna mbongo Ninayo...
1 Reactions
362 Replies
303K Views
Habari! 👋 Naomba kufahamu tafsiri ya Original kwa KiSwahili. Asante.
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Naombeni mnisaidie haya maneno yanaitwaje kwa kiyao 1. Kichaa 2. Titi la mwanamke 3. Kujamba Kuna deal la pesa linakuja kwa atakaye tafsri vizuri maneno haya
0 Reactions
1 Replies
712 Views
LUGHA YA KISWAHILI Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Lugha hii...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu (a, e, i, o, u). Katika Lugha ya Kiswahili irabu ni moja ya vitu ambayo vinahitajika katika neno/maneno ya Kiswahili ili...
7 Reactions
30 Replies
7K Views
Mwanangu leo amenitumia shairi. Ameliita 'shairi mahiri'. Linasomeka: Tumbo nimezaliwa nawe, Tumbo usinifanye nipagawe, Tumbo usiniache mwenyewe, Tumbo unanidhalilisha. Tumbo mimi nimesoma...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Geuza sentensi hii iwe ya kiingereza ""Baba mimi ni wangapi kuzaliwa?"" Ukipata njoo inbox
1 Reactions
137 Replies
18K Views
Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nimesome sehemu kuwa wabunge wamepinga ripoti ya mto Mara wanataka iundwe "tume huru." Kila mara tumekuwa tunasikia watu wakilalamika kuwa inatakiwa tume huru ya uchaguzi. Ninavyoelewa, tume...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Maana nazozipata humu mtandaoni zinanichanganya. Msaada
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau wa jadwali hili leo nakuja na somo jipya.Jifunze baadhi ya majina ya Matunda Na mboga mbali mbali kwa lugha ya Kifarasa.Kama wengi wenyu mlivyopendekeza ktk coments zenyu Nilizifanyia kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jumapili wanajamvi, Natumai mkopoa kabisa, sasa hebu leo kidogo tuangazie lugha yetu. Japo kiswahili ni lugha yetu, na tunaizungumza kila siku, ila kuna maneno mengi ambayo hatuyatumii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom