Kuna demu hapa Anatumia ooh! my God vibaya, nimemsifia ana kucha nzuri na vidole(Hand)
ety kakaanza na ooh! my God 😅😅😂
Tumia kwenye vitu kama , Watu wanne wamesagwa na kata Pila, au vitendo vya...
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Sheheni za siraha, dunia uwanja wa fujo,
Atomiki makombora, jehanamu ya fumbo,
Kisiwa cha miba, wenye nguvu ulimbombo,
Utu umetoweka, mauaji kila uchao.
Kiburi chao pesa, zilizofungwa kwenye...
Kwa nini 7/7 na si tarehe nyingine?
Tarehe iliyopendekezwa ya siku ya Kiswahili duniani ni tarehe 7 mwezi Julai kwa kuwa katika tarehe hiyo mwaka 1954 ni siku ambayo chama cha Tanganyika African...
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya...
MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI?
(Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe...
Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia.
Mie, natambua...
Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.
"I want to eat you"
Labda unamwambia kuku mfano
Ni sahihi kusema nataka nikukule?
Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri
Kwenu wataalamu wa Lugha
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu .
g
Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au...
Kiingereza, kifaransa, kiarabu, na kiispania ndio lugha zinazo zungumzwa na watu katika nchi nyingi duniani. Kiingereza karibu makoloni yake yote ndio lugha wanayotumia, hali kadhalika kwa...
Wakuu hii kitu "Kuhudumia" naona haiko sawa kabisa Kama vile wengi wanavoitafsiri. Wengi naona wanaichanganya na neno "Kuhonga"
Mtu ukimpa au kumlipia hela ya kula, mavazi , au makazi (Mahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.