Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
naomba kusaidiwa mzandiki maana yake nini?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
BARAZA LA KISWAHILI LIMETANGAZA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA kingamuzi na dijitali... Maana Decoder ni kisimbuzi na sio kingamuzi kama ilivyozoeleka kwa wengi dijitali ni dijiti au a-...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama kawaida kwetu wahaya tena nawaletea jina la mwaka mpya 2013 WEBANGE alwekyo twaija kuluga omuli WECHONCHE twechonsile muno twamala mbwenu twagya omuli WEBANGE KWAMBA ; SIMAMA IMARA...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
hivi ni lipi sahihi hapa: mwanamme anamuoa mwanamke au wanaoana?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwetu sie waja leo waondoka leo twasema MKAZA MJOMBA.Nimehamia hapa Dar neno hili silitamki eti ni matusi kwa sababu ya neno 'KAZA' Napenda kueleza kuwa neno Mka maana yake mke wa na kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa wataalaamu wa Kiswahili, Ni kwamba hawa jamaa wa ndege zenye kutoza nauli ya mabasi (sina uhakika sijathibitisha hilo) yaani Fast jet wana mabango yao yanayosomeka "Hembu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
kati ya anayesema 'nyimbo' yangu nzuri na ' wimbo' wangu mzuri nani yuko sahihi na kwa nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila nikisoma maoni ya wanangu kwenye uga huu nakutana na maneno mawili yanayonipa shida. Maneno haya ni dushelele na magamushi. Wenye kujua maana yake nipe elimu baba yenu maana ni muda mrefu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mahali hapa pana hela 1) Mahali hapa hapana hela 2)Si mahali hapa pana hela 3) Si mahali hapa hapana hela. Usisahau kuniambia kwanini.....
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Salaam, Mara kadhaa nimeshiriki/inawezekana nawe pia umeshiriki katika mjumuiko wa watu wenye kueleza/kutoa maoni, majadiliano, elimu n.k lakini hasa inakuwa shida kutambua nini hasa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
RIWAYA YA ''UTASHI NI MTU'' Baada ya kuzitazama zile nyasi zinavyopendeza mwituni ili hali kijana ''Bano wa masaa'' akiwa hana viatu vya kumkinga na miiba na dudu washa waliosheheni msituni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nawafuatilia sana watangazaji wanaoripoti kutoka Kinshasa na kwa hakika kiswahili chao ni cha kukufanya ucheke! Ebu angalia mifano hii kisha na wewe utupie ulichosikia: 1.Askari...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
  • Closed
Ule wimbo umeimbwa ili nini?
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Leo BAKITA wameujulisha umma tafsiri sahihi ya maneno kama ifuatavyo: Decoder............. Kisimbuzi (kusimbua -decode) Detector........... King'amuzi (kung'amua - detect)
2 Reactions
19 Replies
15K Views
Nimepatwa kuulizwa swali humu kuhusu haya maneno Tafakuri tunduizi Tafakuri jadidi Upembuzi yakinifu Tusaidiane kwa kina wadau wa lugha
2 Reactions
7 Replies
15K Views
Nngependa kujua Utofauti wa maneneno haya na usahii wake katika kuyatumia "RAHA, FURAHA, UTAMU"
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Nimeikuta kule Facebook, Mheshimiwa akishambuliwa na vijana wa Face book.Naomba wataalamu wa lugha njooni mumsaidie MSOMI DARAJA LA KWANZA katibu msaidizi wa magamba na mapungufu yake ya ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
When you have failed, your first step is to forget. The second is never to settle for it; never accept a failure. Then go right back at it again. Extract what know how you can. Never say:’well.I...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waswahili wana msemo wao unasema " Yaliyopita Si Ndwele " Swali langu ni " NDWELE NI KITU GANI?. Nasubiri kusikia kutoka kwenu wana JF. " Mpango wa Mungu kwa wanadamu...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
Back
Top Bottom