Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Jaman naomba msaada wa tofauti kati ya maonesho na maonyesho
0 Reactions
3 Replies
4K Views
1.Gari la kuvutwa hali overtake. 2.Hata uwe na bahati vipi hauwezi kuokota nyumba. 3.Mganga wa jadi haagizi tembele. 4.Wimbo wa taifa haupigwi disco. 5.Kandambili haipigwi kiwi 6.Usiteme Big G kwa...
5 Reactions
59 Replies
7K Views
"kibalakala" nimetafuta kwenye kamusi zote nimekosa,mwenye msaada tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Amweye mwawagima?nie nouza wang'wele wayangu mudijamv wabaho?kama wabaho niwaone mana ukolo mdodo sana uno.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujua, mtu mwenye vidole sita huitwaje?
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Bahati haina kwao popote inathibiti ili niwe na upeo nasubiri siipati moyo nimesema nao isipokuja sijuti, sihusudu wapatao ingawa mimi sipati sihusudu wenye vyao siihimizi bahati toka kale hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf,tunabishania kuchinja tu.baada ya kupewa maelezo na mzee wangu mmoja nikaenda kwenye kamusi nikakuta maana ya kibudu.1.mnyama alikufa bila kuchinjwa,mzoga,nyamafu anayeliwa.2.kufa bila...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimesikia mara nyingi Spika au Mwenyekiti wa vikao vya Bunge akimwambia Mbunge: Kaa chini! Maneno haya yanasemwa kwa ukali kidogo kuonyesha uzito wa mamlaka alio nao spika au mwenyekiti...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mnitajie neno na kiswahili linaloishia na FO lisiwe kifo wala fofofo...?
1 Reactions
19 Replies
12K Views
Wakuu nahitaji kufahamu lugha ya kilingala
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Keki kavu hupendeza sio yenye maji ndani, Utaila unacheza ngoma haionekani, Kama utajilegeza utaomba hadharani, Haikwami ukimeza mambo hua burudani, Kwa kweli yanishangaza utamu hadi ndotoni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SULE badala ya SALEHE SHAKAZULU badala ya MASHAKA OMMYGUY badala ya OMARI DULA badala ya abdallah SIDEBOY badala ya SAIDI MUDYGUY badala ya MOHAMMED
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hii nyimbo itachangia mno kuharibu kiswahili..... sio kiswahili fasaha kusema hakunaga.....
1 Reactions
68 Replies
10K Views
laptop au personal computer ni lugha ya kiingereza, Kwa m2 anayefahamu naomba aniambie LAPTOP inaitwaje kwa KISWAHILI plz
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wanajamvi!! Nimekua nikifatilia sana maswala yahusuyo lugha yetu adhimu ya Kiswahili na mara nyingi huwa najaribu kutafuta majibu kwanza mwenyewe kwa Misamiati mingi ya lugha, unakuta...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ni English Ya Mwanafunzi Bora Wa Form4.. Akimwambia Mzungu Ugumu Wa Kupanda Mlima Kilimanjaro Sababu Haujanyooka Moja Kwa Moja: SIR,TO PLANT MOUNT KILIMANJARO IS NOT A PRESIDENT JOB BECOZ...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikia redio za hapa nchini (Mfano za Rev. Dk G. Rwakatare na Rev. Mtume Ephata) kutumia neno "Kumwambukiza" mtu uwezo au kipawa cha kufanya miujiza au upako. Je ni kiswahili sanifu?. Neno...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
sentensi ni tungo lakini si kila tungo ni sentensi, jadili
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Back
Top Bottom