Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Change the following question into English: Wewe ni mzaliwa wa ngapi?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HONGERA KAKA Mtoi KUPATA JIKO Nakupa zangu hongera, mapenzi wayakubali Mtoi nakupa sera, Rehema katoka mbali Chadema wamejikera; maneno mali kauli Karibu kwetu Mlalo, harusi wetu kisura Maneno...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ujumbe hauna mantiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini tofauti kati ya kiswahili SANIFU na FASAHA.
0 Reactions
8 Replies
35K Views
Hi members,I decided to put this thread under this forum for a reason.Though the contents can be used by any human being.Just in case you do not know we make decision all the time,some are simple...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
A lawyer has a son.But the son's father is a security guard.Who is the Lawyer?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa ni dirisha la kuweka na kutoa pesa katika benki ya CRDB nchini Burundi...kwa kutumia uzoefu wako wa kutembelea matawi ya benki ya CRDB hapa Tanzania tuambie maneno haya yana maana gani kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninasikiliza radio na kutazama sana tv. Watangazaji wengi wa tv na radio wanatumia lugha kwa namna ambayo inanipa mashaka kwamba kwenye vyuo vya uandishi habari hakuna somo la lugha kiswahili/...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nadharia ya uhalisia nafsi nini? Je, inajitokezaje katika riwaya mbalimbali za watunzi wa fasihi andishi?
0 Reactions
1 Replies
23K Views
Huwa najiuliza hivi lugha zote hapa duniani zina aliyezianzisha? Kama pana mtu ajuaye kuwa labda Kinyamwezi kaanzisha mtu fulani naomba kufahamishwa. Nimeonelea kulisema hili maana pana juhudi za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bila shaka nyote mmesikia kuhusu vurugu na mauaji yanayoendelea huko Garissa, nchini Kenya. Japo nakashifu tendo la wanajeshi kuwavamia wakaazi wa eneo hilo, nasikitika kuwa huo ni mwiba wa...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
How do you call a person having the same name as your ? ie. If i'm Abdalla how do i call another Abdalla ?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hodi naipiga humu,JENDALUJEJE nasema, :violin:Imeniingia hamu,Jukwaani kuja sema, Mawazo mengi matamu,ya kumeza si kutema, Hodi mi nasema hodi,ndio kwanza naingia. Jamvini nasogelea,KARIBU...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Lugha za mtaani/kitaa au maskani. Mpige tero-Msachi/mkague. Njiti-Shilingi 100 Bati -sh 200 Barida-( tuliza/tulizana) Chali-vijana wadogo wadogo wanaolingana umri Nyoka-dogo ambaye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimesikia ktk ITV leo na hata katika mijadala mbalimbalia kuhusu uimara wa kiswahili na tatizo linalosababishwa na Kiswahili. katika akufuatilia nimeona tatizo si Lugha na hata kama lingekuwa...
2 Reactions
91 Replies
16K Views
Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Kupigana na Nafsi!! ni LEO, Kesho ni kubahatisha. Mema yatende LEO, Usiseme kesho itafika.! Mola kakupa LEO, Kesho bado kaificha. Udumu kutenda LEO, Kesho huna uhakika. Tufanye mema kwa...
2 Reactions
1 Replies
871 Views
Upi ni msemo sahihi wa Kiswahili sanifu kati ya misemo ifuatayo? a. Ndoo inavuja au b. Maji yanavuja? Tusaidiane katika hili wadau wa Kiswahili.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wataalam wa lugha naombeni ufafanuzi wa nini maana ya feed back?kwani nimemsikia mtangazaji wa tbc taifa,anasema kuwa mic zimeleta matatizo ktk ukumbi wanaofanyia mkutano chama cha mapinduzi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hi I am the university student really in need of the soft copies of the books; Translation Theory into Practice, The Modern Translations and Church Translating Paradigm (2nd Edition). I have...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Back
Top Bottom