Naomba kujua maana ya neno secretary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua maana ya neno secretary

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kennedy Daima Mmari, Mar 5, 2013.

 1. Kennedy Daima Mmari

  Kennedy Daima Mmari Verified User

  #1
  Mar 5, 2013
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 981
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jamvi...nimekuwa nikijiuliza sana maana ya hili neno...lilitumia word formation process ipi na lilikusudia kubeba maana gani????

  SECRET-siri
  ary-ni kiambishi cha nini???

  je ilikusudiwa kuleta maana ya "Msiri"?????

  Naombeni mnitoe ukungu
   
 2. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,467
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  chukua kamusi uangalie
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2013
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 10,368
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Ni katibu Muktasi...angalizo! Si maneno yote kama ilivyo kwenye kiswahili ambayo ukiyavunja na kutafuta maana utapata maana iliyokusudiwa! Ngoja waje 'Ngine' yumkini tutapata jibu
   
 4. andate

  andate JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2013
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuwa pamoja kuchangia hamasa miongoni mwenu, kwa kifupi unaweza kusema kuhamasishana.

  Kuwa pamoja kuchangia mambo ya jamii, kwa kifupi unaweza kusema kujamiiana?
   
 5. Kennedy Daima Mmari

  Kennedy Daima Mmari Verified User

  #5
  Mar 6, 2013
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 981
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kujamiiana ni neno sahihi pia katika muktadha unaozungumzia
   
 6. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 577
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli,pia ukisema socialization maana yake kwa kiswahili ni kujamiiana
   
 7. Kennedy Daima Mmari

  Kennedy Daima Mmari Verified User

  #7
  Mar 8, 2013
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 981
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yeah...uko sahihi mkuu
   
 8. m

  mullar Member

  #8
  Mar 8, 2013
  Joined: Mar 8, 2013
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  according 2dictionary ni katibu
   
Loading...