Sandarusi ni nini?

Sandarusi ni mfuko mfano wa gunia. Hutumika kubebea nafaka. Wengine huita salfeti au kiroba.

wakati inaingia mifuko hiyo ilikua inawekea mbolea ya salfeti, wapare walikua wanachapia sana wakiita safleti wakidhani ndio jina la hiyo mifuko
 
Hili neno sijalisikia muda mrefu sana - nakumbuka kama sikukosea sandarusi ili kuwa ni kitu kama plastic ngumu inayoweza kuvunjika -mfano baadhi ya sahani zilikuwa simetengenezwa kwa sandarusi
 
Back
Top Bottom