Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Kudanga = kufanya ukahaba. 2. Body count = idadi ya watu uliofanya nao mapenzi. 3. One night stand = kufanya mapenzi mara moja na mtu asiyekuwa mpenzi wako ili kukidhi tamaa za kimwili. 4...
2 Reactions
4 Replies
458 Views
Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Ndugu Wanajamii, kuna ndugu zetu Wamarekani wenye Asili ya Afrika wanakuja Tanzania kutafuta mizizi (roots) yao katika programu ya African Diaspora Heritage Trail (ADHT) <...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
I'm not God, not yet
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Nijuzeni jina la Mwanamke mlevi kwa kiswahili fasaha anaitwaje Tupo na mke wangu hapa tunabishana ananitajia majina ya ajabu ajabu Na jee mwanamke mlevi kwa kimombo anaitwaje?[emoji23] My...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Jaman Wana jamii forums Nina swali. Je, ni lugha gan ambayo hutumika wakati wa interview yako pale ubalozi wa marekani ni Kiswahili au ni English? Na pia, je interview unafanyia ndani kwenye...
3 Reactions
2 Replies
732 Views
Leo tuna Hadith mpya DONDA LA WIVU 👇 LEO MCHANA. “Ni lazima niitishe kikao cha wazee wa Mila, ni lazima nipange siku moja maalumu kuwakomoa firauni hawa, wajinga na wapuuzi wanao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAMEZIDI.(Wamekua too much) Mtunzi:Elaija-Elia. (Sms) +255744225388. KAMPANI. "Waziri Beni unahitaji KAMPANI huwezi kwenda pekee Ulaya." Secretary Rose aliongea kwa madaha mbele ya...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
neno maana yake Shimboni Shikamoo (Habari yako?) Shimboni mae/mbe Shikamoo mama/baba? Nasicha Nzuri Aika...
4 Reactions
12 Replies
22K Views
Salaam; Wana jukwaa Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ? Nawasilisha
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Lugha yetuuu vipi unajua?
0 Reactions
2 Replies
334 Views
TATIZO LA KUTAMKA "R" NA "L" Hili tatizo la shida ya kushindwa kutofautisha kati ya "R" na "L" ni tatizo jipya. Nyakati zetu tunasoma shule ya msingi katika miaka ya 1950 tatizo hili halikuwapo...
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida kupata misamiati mipya kutoka kwa marais ofisini. Huu ni msamiati mpya kwa wale wapendao kuishi kwenye taabu: BAKITA wakae mkao wa kula. Haikosi msamiati huu unawahusu...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Inakuwaje wanajamvi! Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili. Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamaa aliyeonekana anakuja kuokoa jahazi, upepo ukamshinda naye akazama mazima
12 Reactions
28 Replies
1K Views
maneno kama vile; magumashi miyeyusho shobo jau sanua (mfano; kimesanuka, imesanuka, 'mange kimambi kakisanua huko') haya maneno yanafahamika sana ila sidhani kama wengi tunafahamu namna ya...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Ahsanteni sana Kamusi ya TUKI ya Kiswahili kwa Kiswahili kwa kuja na hizi Istilahi mpya na sahihi za Lugha ya Kiswahili.
3 Reactions
5 Replies
592 Views
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ingilieni KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au? Hebu ona hapa mifano michache katika...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…