Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mtu aliyenusurika na ajali ni sahihi kumuita "mhanga wa ajali"?
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Kishtobe Sakala Mento
0 Reactions
170 Replies
36K Views
Habari za majukumu wakuu nimesomea korea kaskazini miaka mitatu lugha yao mimi ndio nikawa genus wa korea kaskazini sasa nimerudi tanzania kuja kuchukua kozi ya kiswahili tena maana nimeanza...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda. Kuna utofauti gani kati ya meneno haya . Kunenepa naku nawili. Karibu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya leo wataalamu wa Kiswahili. Leo asubuhi nimemsikia Mwanazuoni mmoja wa Kiswahili ambaye hushirikiana na Radio Clouds akisema kwamba neno "Sitirifu" maana yake hali ya usiri. Binafsi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Napenda sana kuangalia movie za kitanzania na kuzifurahia ila kuna kitu kinanisikitisha mno. Kitu hicho ni tafsiri za kiswahili kwenda kiingereza.Wanaotafsiri sijui wanaokotwa wapi kwani...
1 Reactions
0 Replies
845 Views
Huwezi kupiga mluzi wakat unatafuna karanga[emoji9] [emoji9] [emoji9]
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheria na Amri
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jali sana mwili wako maana ni sehemu pekee unayotakiwa kuishi[emoji108][emoji108][emoji108]
2 Reactions
3 Replies
8K Views
Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo? Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake? Kama kuna mbadala wa...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mafanikio ni kupata unachokitaka Lakini Furaha ni kutaka unachokipata[emoji122][emoji122][emoji122]
0 Reactions
2 Replies
6K Views
"Language is pure human".discuss
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila kunapokucha kiswahili kinasisitizwa sana kiwe lugha ya kufundishia kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu, Hiki kiswahili kitakupeleka wapi? Ili hali hata masomo ya art yameshapuuzwa? Wanafunzi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Heri, Katika mapambano yangu yaku pata elimu somo la Kiswahili lilikua changamoto kwangu. Hivyo najifunza kila siku. Nini tofauti yake? " Kiswahili " na "Swahili". Wageni kutoka nje wata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninge penda kujua hili neno mitale na midimu, lina maana gani? kwa wasukuma. nalisikia sikia tu lakini sijui maana yake, pia kwa wa swahili mnao lijua maana yake, naomba kuwasilisha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Mtu yoyote Au 2. Mtu yeyote Kiswahili kina changamoto tusaidiane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Neno demu linapotumiwa kama. MTU wa jinsia ya kike ni sawa ama?????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…