Jukwaa la Historia

Wengi huita siku ya MaShambulio ya al-Qaida dhidi ya Marekani, Mashambulio ambayo yalichukua takribani uhai wa watu zaidi ya 3000. Kulitokea mashambulio Manne ambayo yalitumia ndege Nne...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha. Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora. Ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo. Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI? Kwanini Muda wote una Watu Wengi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapo zamani, wafanyabiashara wengi walitokea na kutafuta masoko na fursa za kibiashara nje ya mipaka ya nchi yao. Moja kati ya safari ndefu ilikuwa ni ile ya kulizunguka bara la Africa ili kuweza...
11 Reactions
20 Replies
4K Views
DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU? Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6. Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,'' Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
‌Utajiri wa baharini:Dhahabu imejaa baharini kwa sababu ya kuzama kwa meli kadhaa za kale ‌Kuna mali ya thamani ya mamilioni ya dola inayoharibika katika bahari mbali mbali duniani . Mali hiyo ni...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Zuberi Mtemvu na Bi. Titi Mohamed siku Mtemvu aliporudi TANU.
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic...
12 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
"THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi...
3 Reactions
0 Replies
856 Views
HISTORIA FUPI YA OFISI ZA AFRICAN ASSOCIATION (AA), TAA, TANU HADI CCM 1933 - 2021 Picha ya kwanza ni ofisi ya African Association (AA) siku ya ufunguzi wake mwaka wa 1933. Hii picha ya ufunguzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Hii ndio historia sahihi kuhusu viongozi waasisi wa TANU
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Nimesikia machache sana na kuvutiwa na hadithi za nguli wa muziki wa Taarab hapa nyumbani Sinti binti Saad. Naomba kumjua zaidi miaka aliyovuma, muziki wake, haiba na mengine mengi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP) Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mtu kuitwa kuwa ni UTP ni sawa la leo kuitwa gaidi. Picha hiyo hapo chini ya kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeshi la KAR ( kings African Rifle) ni jeshi ambalo limeanzishwa na kutoholewa kutoka kwenye makundi mabalimbali ya maaskari wa Kiafrika mnamo mwaka 1902. Jeshi hili lilianzia Afrika ya Mashariki...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…