Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.
Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897.
Tafsiri ya...
PYRAMID linalopatikana Misri lilikua ndio jengo refu zaidi lililojengwa na mwanadamu miaka 4000 iliyopita .Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo...
Tafsiri ya kitabu The Autobiography of Malcom X. Unaweza kukisoma ndani ya Maktaba Sauti app.
Muandishi: Malcom X(Alex Haley), 1965.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
KITABU KINACHOHUSU MATESO KATIKA JELA YA KIINUA MIGUU BAADA YA KUUAWAKWA MZEE KARUME 1972
Toka jana baada ya kutoka taarifa ya kuahirisha uzinduzi wa kitabu kwa kuwa hakijapitishwa na BAKIZA...
MUHIMU: jiji la Mbeya ni wilaya moja tu ndani ya Mkoa na sio wilaya zote za Mbeya
WANYAKYUSA
Hawa kwa asili sio wazawa wa wilaya ya Mbeya jiji, wametokea wilaya jirani za Rungwe (ulipo mji...
Alhamisi Aprili 18, 1963: Gazeti likimuonesha Bi. Jean Conrad, Afisa biashara wa Mansfield Telephone Co., akiwa na simu ya mfukoni isiyotumia waya ambayo alisema Mansfielders wataibeba siku moja...
UTANGULIZI
Masiku yamepita huku nikitamani sana kuandika chochote kuhusu Uyahudi na Wayahudi. Kuandika kuhusu chimbuko lao, kuandika kuhusu uhusiano wao na wana wa Israeli,kuandika kuhusu itikadi...
AGA KHAN PATRON WA EAMWS ALIPOKUTANA NA VIONGOZI WA BAKWATA MIAKA YA 1980
Nakusudia In Shaa Allah kuweka hapa makala mbili au tatu hivi kueleza yaliyotokea baada ya miaka mingi na Aga Khan...
Kuna hii nadharia ya Falme iitwayo Tartaria, ambayo inadai kwamba zamani kulikuwa na milki kuu ya ulimwengu inayoitwa Tartaria katikati mwa Asia (kama, ndio, ambapo Watartari wanatoka kweli...
MAKOSA KATIKA HISTORIA YA NYUMBA YA JULIUS NYERERE MAGOMENI KAMA ILIVYOANDIKWA NA DAILY NEWS
Daily News la tarehe 9 December 2023 (link hiyo hapo chini) imechapa makala yanayosema kuwa nyumba...
MZEE MAXWELL NA HISTORIA YA TANU
Mzee Maxwell kaniona mimi toka udogo wangu labda hata sijaanza kutembea.
Nimemjua Maxwell kwa jina lake hili moja.
Maxwell alikuwa pamoja na Dome Okochi Budohi...
HUU NI MFULULIZO WA HISTORIA YA KWELI YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA
Sehemu ya kwanza
“..kama unasoma ujumbe huu, muda huu… uko mpweke! Pengine ushahidi pekee uliobakia ni kijipande hiki cha...
MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina...
Wakuu, Kwa wale wanaoifahamu Jiografia ya Mkoa wa Kilimanjaro,
Huu mkoa umekaliwa sana na Wapare (maeneo ya Same na Mwanga), Wamasai kidogo na Wachaga kwa wingi, takribani kwa wilaya nyingine...
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa...
ILIKUWA SAFARI NDEFU
Ilikuwa siku kama ya leo sasa imetimu mwaka mmoja.
Picha hizo hapo chini ni maofisa kutoka Heritage Centre for Liberation of Afrca na TBC wakiwa Ukumbi wa Arnautoglo...
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879
Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893
Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909...
Na: Mwalimu Makoba
1
Hadithi ya Idi Amin na wake zake ni miongoni mwa hadithi za kusisimua, kuchekesha na zilizojaa ukatili. Kuwa na wake watano na wote wazuri ni msisimko wa aina yake. Kuwa na...
MFALME CONSTANTINE I WA ROMA
Huwezi kuutaja UKRISTO katika dola ya Roma bila kumtaja Mfalme Constantine I ukifanya hivyo huenda historia yako hiyo isikamilike
Kwa sababu hapo awali...