HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA
Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922
Mahali pa kuzaliwa: Butiama
Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999
Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia...
Wadau hamjamboni nyote?
Sijaongeza hata neno moja
Mzee wa Atikali ✍️✍️✍️
Alhamis, Oktoba 10, 2024
0754 744 557
"Vitabu zote zinazochapishwa kwaajili ya kutumika kwenye syllabus kwa shule na...
Zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili cha Unguja na Pemba vilivyoko kwenye mwambao wa Afrika mashariki vinazungukwa na bahari ya hindi ambapo vimekuwa ni chachu na vivutio vya watalii na watu...
PICHA ADIMU ZA SHEIKH SHULE TAKADIR ALIZOACHA BAADA YA KIFO CHAKE 1958
Leo nimepokea picha mbili kutoka Zanzibar kwa mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir, Suleiman Abdulrahman bin Sheikh Suleiman...
SULEIMAN ABDULRAHMAN SULEIMAN TAKADIR MJUKUU WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR
Mchana leo nimepokea simu aliyenipigia akajitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibari anapiga simu kutoka Zanzibar na jina lake ni...
Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na...
Katika Dola ya Kale ya Uajemi (Persian) wanaume walikuwa wakijadili mawazo mara mbili katika mchakato wa majadiliano (debate).
Maramoja walifanya hivyo wakiwa hawajalewa, na mara nyingine wakiwa...
Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R.
Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye...
SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA"
Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho.
Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani?
Nimeingia Maktaba kwenye...
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka...
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024)
Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao.
Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia...
ISSA SHIVJI NA ABDUL SYKES
Leo nilibahatika kukutana na Prof. Issa Shivji katika uzinduzi wa kitabu cha Abdilatif Abdulla, ‘’Voice of Agony.’’
Tulizungumza kidogo.
Nikakumbuka jinsi...
MUFTI SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIR ATIA NENO HISTORIA YA WAISLAM NA UHURU WA TANGANYIKA
Kongamano la kuadhimisha mwaka wa Kiislam 1446 lilihitimishwa na Mufti Sheikh Abubakar Zubeir kwa kutia neno...
Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire.
India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya...
''VOICE OF AGONY" TAFSIRI YA "SAUTI YA DHIKI" CHAZINDULIWA MKUKI NA NYOTA DAR ES SALAAM
Sauti ya Dhiki kitabu maarufu cha Abdulatif Abdalla kimezinduliwa leo ndani ya duka la vitabu maarufu...
MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA
Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji...