Jukwaa la Historia

On JF:

Zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili cha Unguja na Pemba vilivyoko kwenye mwambao wa Afrika mashariki vinazungukwa na bahari ya hindi ambapo vimekuwa ni chachu na vivutio vya watalii na watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
PICHA ADIMU ZA SHEIKH SHULE TAKADIR ALIZOACHA BAADA YA KIFO CHAKE 1958 Leo nimepokea picha mbili kutoka Zanzibar kwa mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir, Suleiman Abdulrahman bin Sheikh Suleiman...
1 Reactions
2 Replies
532 Views
SULEIMAN ABDULRAHMAN SULEIMAN TAKADIR MJUKUU WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR Mchana leo nimepokea simu aliyenipigia akajitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibari anapiga simu kutoka Zanzibar na jina lake ni...
3 Reactions
4 Replies
805 Views
Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na...
2 Reactions
4 Replies
730 Views
https://youtu.be/54VeeqGdKSM?si=NBeY8vML9_8vFrmY
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Katika Dola ya Kale ya Uajemi (Persian) wanaume walikuwa wakijadili mawazo mara mbili katika mchakato wa majadiliano (debate). Maramoja walifanya hivyo wakiwa hawajalewa, na mara nyingine wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R. Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye...
1 Reactions
7 Replies
822 Views
SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA" Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho. Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani? Nimeingia Maktaba kwenye...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024) Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao. Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia...
19 Reactions
76 Replies
3K Views
ISSA SHIVJI NA ABDUL SYKES Leo nilibahatika kukutana na Prof. Issa Shivji katika uzinduzi wa kitabu cha Abdilatif Abdulla, ‘’Voice of Agony.’’ Tulizungumza kidogo. Nikakumbuka jinsi...
2 Reactions
6 Replies
672 Views
MUFTI SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIR ATIA NENO HISTORIA YA WAISLAM NA UHURU WA TANGANYIKA Kongamano la kuadhimisha mwaka wa Kiislam 1446 lilihitimishwa na Mufti Sheikh Abubakar Zubeir kwa kutia neno...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire. India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
''VOICE OF AGONY" TAFSIRI YA "SAUTI YA DHIKI" CHAZINDULIWA MKUKI NA NYOTA DAR ES SALAAM Sauti ya Dhiki kitabu maarufu cha Abdulatif Abdalla kimezinduliwa leo ndani ya duka la vitabu maarufu...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji...
1 Reactions
7 Replies
539 Views
https://m.youtube.com/watch?v=gRXjD7RXTPk George Ayittey is a Senior Fellow at the Independence Institute; Founder and President of the Free Africa Foundation; and formerly a Distinguished...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud. Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu. Sikiliza mazungumzo yetu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia. Walinifahamisha kuwa wapo katika...
4 Reactions
6 Replies
886 Views
Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia...
2 Reactions
1 Replies
988 Views
Back
Top Bottom