Lucy Lameck amezaliwa huko mkoani Kilimanjaro mnamo mwaka 1934, alikuwa Mwanamke msomi ndani ya TANU, aliyehimu Vyuo Vikuu vya Oxford Nchini Uingereza na Michigan, Marekani
Alikuwa mwanamke wa...
SMAIL BAYUMI MUASISI WA TANU CLUB MOMBASA 1950s
Nimemjua Ismail Bayumi Moshi mimi nikiwa mtoto mdogo wa darasa la pili au la tatu miaka ya mwanzoni 1960s.
Naukumbuka utanashati wake na gari yake...
Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe.
MLANGO WA 5
ASILI YA WACHAGGA
Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya...
Malcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu.
Afu wakati huo huo unatushauri...
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930.
HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI
Somo 1-Wahima
KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana...
Marehemu Major Gen. Muhiddin Kimario, mmoja ya mawaziri wawili tu wa Mambo ya Ndani katika historia ya Tanzania kuwahi kudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 5.
Alitumwa na Mwl Nyerere...
Asema katika Vita ya Kegara udhibiti wa mawasiliano na taarifa ulikuwa wa kiwango cha
Raia Mwema: Hali ilikuwaje kule eneo la mapambano wakati wa vita ya Kagera?
Jenerali Kikwelu: Kazi ilikuwa...
Hapo zamani za kale, Kuku na Tai walikuwa marafiki. Waliishi kwa amani na ndege wengine. Hakuna kati yao aliyeweza kupaa.
Kuna siku njaa ilitokea. Ikamlazimu Tai kutembea umbali mrefu kutafuta...
#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI
Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey...
Uwepo wa wewe na mimi ni ushahidi tosha kuwa dunia imekaliwa na binadam kwa MUDA WOTE tokea alipoumbwa binadam wa kwanza.
Kama dunia imekuwa na watu muda wote maana yake watu hao walikuwa...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta...
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese!
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa...
Hapo zamani za Kale β Hadithi kuhusu Afrika.
Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara...
Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa.
Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu...
1. Kabla ya taifa la kisasa la Israeli (lililoanzishwa 1948), kulikuwa na Mamlaka ya Uingereza (1920-1948), sio taifa la Palestina.
2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman...