Jukwaa la Historia

On JF:

Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake...
1 Reactions
160 Replies
88K Views
Katika maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina la Sheikh Abeid Amani Karume linabaki kuwa nembo ya maono jasiri yaliyobadilisha visiwa vya Karafuu katika Bahari ya Hindi. Kama...
1 Reactions
11 Replies
854 Views
HISTORIA YA "WASUKUMA" Jina la Wasukuma limetokana na neno SUKUMA(KASIKAZINI). Hivyo Msukuma ni mtu wa Kasikazini lakini Wasukuma haimaanishi tu watu wa kaskazini bali wanajumuishwa pia watu wa...
6 Reactions
28 Replies
15K Views
https://youtu.be/vMA8MAZBB2Y?si=RWfDDfmV8WrzNacW
1 Reactions
4 Replies
468 Views
https://youtu.be/9u_ZRa69IGs?si=Ea99wpBTzkTEHVwt
0 Reactions
3 Replies
383 Views
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni moja ya maeneo ya kivutio zaidi nchini Tanzania na inajulikana kwa uzuri wake wa asili na wanyama wa ajabu. The Ngorongoro Conservation Area (NCA) ilianzishwa...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao. Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama...
17 Reactions
42 Replies
9K Views
07 January 2022 Mkuu wa Majeshi wa Kwanza JENERALI SARAKIKYA, Asimulia Alivyoshiriki Kuliunda Jeshi Katika interview hii maalum mhitimu wa chuo tajwa kabisa cha kijeshi duniani cha Sandhurst...
9 Reactions
30 Replies
16K Views
JINA la Milambo ni maarufu sana hapa Tanzania na katika eneo lote la ukanda wa Afrika Mashariki. Lakini ni watu wachache wanaoweza kueleza Milambo ni nani na alifanya nini hadi kustahili sifa...
8 Reactions
39 Replies
47K Views
๐—›๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association...
0 Reactions
3 Replies
528 Views
Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa. Kwa...
10 Reactions
12 Replies
945 Views
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja. Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
2 Reactions
3 Replies
331 Views
Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s. Pata pale aipate.
0 Reactions
2 Replies
616 Views
VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwakweli kiswahili kinazidi kupaa. Zamani mtu alikuwa akisafiri kwenda Dar alitumia msemo naenda BONGO. Hivi sasa hata mtu anaeishi nje ya Dar anasema yeye mbongo pengine anamaanisha yeye M-TZ...
0 Reactions
32 Replies
20K Views
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers...
4 Reactions
3 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ