Jukwaa la Historia

On JF:

https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
2 Reactions
4 Replies
660 Views
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako. Short and clear...
8 Reactions
89 Replies
3K Views
Wadau wa historia habari zenu? naombeni msaada kuna habari nimewahi kuisikia zamani kidogo inamhusu Mwalimu Nyerere kipindi hicho akiwa Rais wa Tz na mwanasiasa mkongwe Bi Thabita Siwale waziri...
10 Reactions
103 Replies
25K Views
HAMISI HERI KUTOKA UASISI WA TANU 1954, KURA TATU 1958 HADI AZIMIO LA ARUSHA 1967 Familia ya Hamisi Heri imeipatia Maktaba picha ya Hamisi Heri mmoja wa waasisi wa TANU, Tanga. Picha imepigwa...
2 Reactions
7 Replies
717 Views
Habari manguli wa historia, Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika. Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
https://youtu.be/L0Vax2uGgJU?si=ew8vonaaY7SbmoMg
2 Reactions
2 Replies
375 Views
Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilizungumza Ukumbi...
3 Reactions
4 Replies
565 Views
Kuna uhakika na kuaminika kwamba, Wasambaa ni moja ya makundi ya Wabantu wanaotokea Afrika Magharibi na Kaskazini wakipitia nchi za Ethiopia na Kenya. Wasambaa ni tawi lilomegega kutoka kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika karne ya 8, mji wa Lanciano, Italia, ulikuwa mashahidi wa tukio lisilo la kawaida ambalo limeendelea kushangaza ulimwengu hadi leo. Wakati wa Misa Takatifu, mkate wa Ekaristi ulibadilika...
4 Reactions
5 Replies
745 Views
Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”. Kwa nini...
19 Reactions
115 Replies
11K Views
Habarini, Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili? Hapa ndipo...
0 Reactions
8 Replies
485 Views
MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga...
5 Reactions
15 Replies
982 Views
"UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed." Bahati mbaya lau...
5 Reactions
2 Replies
510 Views
Ukiweka ahadi lazima uitimize..Ukiweka nadhiri ni lazima uitangue la sivyo itakutesa kifikra na kudai utanguzi. Mwaka wa jana kwenye post moja, tukiwa na mjadala, tulimjadili gwiji wa falsafa...
20 Reactions
204 Replies
24K Views
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO)...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
https://youtu.be/aF0b1VDxVm8?si=bwgSyqA52isDS3pq
1 Reactions
17 Replies
658 Views
JE NI KWELI RWANDA IKO SALAMA TOKA KUMALIZIKA KWA MAUAJI YA KIMBARI 1994? Makala yangu no 02. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa. Na. Comred Mbwana Allyamtu. Kumekuwa...
3 Reactions
71 Replies
18K Views
KIMONDO CHA MBOZI Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kilianguka kutoka anga-nje karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa takribani tani 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi. Leila alikuwa...
2 Reactions
0 Replies
479 Views
Kozi fupi ya historia ya DOLA YA KIPALESTINA: 1. Kabla ya Israel, kulikuwepo na mamlaka ya Waingereza, siyo dola ya Kipalestina. 2. Kabla ya mamlaka ya Waingereza, kulikuwepo Dola ya Ottoman...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…