๐ก Imepita zaidi ya miaka 112 toka friji la kwanza kugunduliwa Mnamo mwaka 1913 kupitia kwa jamaa mmoja mmarekani anaitwa Fred W Wolf ndo alikua mtu wa kwanza kugundua jokofu la umeme lenye kutoa...
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo...
MIMI NA CHEF PRIDE
Historia yetu sasa nadhani ina kiasi cha miaka 30 na zaidi.
Mgahawa ulikuwa Mosque Street, Zahir Hotel.
Katika miaka ya 1980/90 ndipo kilipokuwa kijiwe chetu cha mazungumzo...
Mwaka 2024 Taifa la Bangladesh liliandika historia mpya kwa kuuondoa Utawala wa dikteta wa dhalimu mwanamke aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Bi. Sheikh Hasina.
Katika Utawala wa Sheikh Hasina...
Rev. Prof. Charles Nyamiti was born in 1931, among three brothers and four sisters, to Mzee Theophilus Chambi Chambigulu and Mama Helen Nyasolo, (both Late) belonging to the Wanyamwezi of...
PITIO LA KITABU: BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE
Hiki ni kitabu cha nne ambacho nimekifanyia patio katika vitabu ambavyo vinaeleza mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Kitabu cha...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na...
MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY
Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa...
Ni Yule Yule tena jamaa wa Tiktok amespot video anasema :
Tupac aliuwawa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie.
Twende kazi : ๐๐๐๐
Akizungumza kupitia...
Mwenye kujua kabila hili chimbuko lake ni wapi anijuze mana nimesikia walikuwa na mfalme aliyeitwa Huihui au mfalme Juha! Wanatoka maeneo gani hapa Tanzania. Nahitaji kujua historia yao kidogo.
Katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, kuna mwembe mkubwa wenye historia ya kipekee. Mwembe huu, unaotarajiwa kutimiza miaka 61 mnamo Aprili 2024, haujulikani sana kwa wengi.
Mti huo...
Tabora Hotel, ambayo kwa sasa inajulikana kama Orion Tabora Hotel, ina historia ndefu na ya kipekee inayohusiana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, na kitamaduni nchini Tanzania kwa zaidi ya...
Jakaya Kikwete akiwa na Washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995 katika picha ya pamoja.
Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huo alikuwa Emily Adolf.
Miaka takribani 30 iliyopita, hapo Mh. Jakaya Kikwete...
Miaka kadhaa nyuma, mzazi wako alikuwa anaandika barua na kwenda kuituma posta. Sometimes ilifika baada ya wiki mbili au ilikuwa inaweza isifike kabisa.
Kisha baadae simu zikaja then mitandao ya...
Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani...
ELLEN G. WHITE
Ellen Gould White (nรฉe Ellen Gould Harmon; Novemba 26, 1827 - Julai 16, 1915) alikuwa mwandishi na mwanzilishi mwenza wa Kanisa la Waadventista Wasabato. Pamoja na viongozi wengine...
MAKTABA IMEPOKEA JARIDA LA KUMUENZI PROF. ABDALLA BUJRA (1938 โ 2025)
Siku chache zilizopita alinipigia simu Prof. Mohamed Khalil Timamy kutoka Takaungu, Mombasa akaniambia kuwa anakwenda Malindi...