Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa.
Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake.
Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere.
Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu...
HISTORIA YA PICHA YA WANAWAKE WATANO WALIOMSINDIKIZA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE UWANJA WA NDEGE SAFARI YA KWANZA UNO 1955 IMEKAMILIKA
Kuna picha mashuhuri mbili za safari ya kwanza ya Mwalimu...
Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama...
Kuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000.
Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua.
Baada...
Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!
Denis Mpagaze
___________________
1. Wazazi wake walitamani awe Padre wa Jimbo akawa Rais wa nchi. Sisi tunapanga na Mungu anapangua.
2. Aliingia...
JULIUS NYERERE NA ALI MWINYI TAMBWE, AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) SAFARI YA KWANZA UNO 1955
Usiku uliopita kijana mmoja jina lake Victor Madaha Mtangazaji...
Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo.
Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi...
Mfalme James I wa Uingereza (na VI wa Scotland) alikuwa mtu wa kipekee katika historia, si tu kwa mchango wake wa kidini na kisiasa bali pia kwa maisha yake binafsi na maandiko aliyoyaacha...
Pripyat, Ukraine ni mji ulioko kaskazini mwa Ukraine, karibu na mpaka wa Belarus, ulioundwa rasmi mwaka 1970 kwa ajili ya kuwahudumia wafanyakazi wa Kiwanda cha Nyuklia cha Chernobyl. Mji huu...
June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa...
Nimeulizwa swali kuhusu Siku ya Mashujaa wa Tanzania.
Sikujibu swali ila nami nikauliza swali.
Vipi utawaadhimisha mashujaa waliopigania uhuru wa Tanganyika ikiwa hao mashujaa historia zao...
Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao...
LEO SIKUKUU YA MASHUJAA: MTWA ABDALLAH MKWAWA WA KALENGA (1855 - 1898)
Makala hiyo hapo chini ni nyongeza ya makala fupi ilyoandikwa na kijana mmoja kumuadhimisha Mtwa Mkwawa.
Makala hii ndiyo...
Manhattan Project ulikuwa ni mpango wa siri wa Marekani wa kutengeneza silaha ya nyuklia (atomic bomb) wakati wa Vita ya Pili ya Dunia. Mpango huu ulianza mwaka 1939 lakini ukawa rasmi zaidi mwaka...
26 May 2025
Oslo, Norway
WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM
MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!"
Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania...
GEREZANI DAY 2025
Gerezani ina umuhimu wa pekee katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Katika jambo ambalo sikulitegemea wala kutarajia ni siku Salum Matimbwa aliponirushia ukurasa...