Ingia YouTube kuna Documentary ya Aljazeera inaitwa Who Killed Kabila?? Utapata story ya kutishaLeo katika pitapita zangu, nikajikuta namkumbuka marehemu Mzee Laurent Desire Kabila.
Mzee aliuwawa katika miaka ya 2000.
Swali langu ni nani alimuua??
Pia mwenye kujua elimu na historia ya maisha take.
Uko sahihi kabisaIngia YouTube kuna Documentary ya Aljazeera inaitwa Who Killed Kabila?? Utapata story ya kutisha
Ile documentatry ipo kwa kiingereza kaka, labda mleta uzi hajui kizungu.Ingia YouTube kuna Documentary ya Aljazeera inaitwa Who Killed Kabila?? Utapata story ya kutisha
Dah nilikuwa napita sana sijui nani anaishi siku hiziHivi lile Jumba lake la Kingorowila Kunduchi nani anakaa?
Kwani Joseph Kabila ni mtoto wa Laurent Kabila?Mpaka sasa hakuna ushahidi usio na Shaka kuwa Nani kamuua kwa kuwa ADC ( tunaita Bodyguard) wake aliuawa Mara tu baada ya Mauaji Yale ya risasi aliyopigwa Sikioni akiwa katulia Ofisini kwake na mpaka Leo hii Silaha iliyotumika kumuua haijawekwa hadharani.
Kuna kundi linasema aliuawa na Maafisa wa Juu wa Serikal yake kwa ushaurikiano wa Mwanae Joseph Kabila aliekuwa Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais na baada ya Afisa Mmoja kuingia ndani ya Ofisi yake alitoka Nje na kumpiga Risasi Yule ADC na kusingizia ndie alimuua 'Mzee' na yeye ndo akamkurupusha na kummaliza
Inasemekana si mwanawe wa kumzaa. Ni mtoto wa Kanali Albert Kanambe Mnyarwanda mshirika wa Kabila katika harakati za kumng'oa MobutuKwani Joseph Kabila ni mtoto wa Laurent Kabila?
Ipo ya kiingereza mkuu, check vizuri utaiona.Documentary nimeiona wanaongea kifaransa sijui kizaire, ila kuna subtitles za english nimeambulia kidogo.
Bwana Rachid amemuua yule mzee