Makala hii nimeikuta mahali na nimeileta hapa ili sote tufaidike In Shaa Allah:
"On 3 October 1930, a bus carrying fifteen members of one family, a driver’s assistant, and a nanny plunged into...
BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA
Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa.
Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi.
Labda kama isingekuwa...
Prof. Ali Mazrui Katika Maktaba ya Prof. Mohamed Timamy, Takaungu
Leo ni siku yangu ya tatu niko Takaungu kijiji kiasi cha 50 km Kaskazini ya Mombasa njia ya kwenda Malindi.
Nimemtembelea rafiki...
NIMKUMBUKAVYO BI. SHARMILA (1942 - 2025)
Siku mbili tatu zilizopita kuliwekwa katika mitandao makala ya marehemu Shakila mwandishi akieleza historia yake.
Pamoja na makala ile kulikuwa na...
Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika...
151 years ago, Arthur Alfonso Schomburg was born in San Juan, Puerto Rico, to a black mother and white father who abandoned the household. He arrived in New York 17 years later. He was called the...
Hotuba nzuri sana iko hapo chini Mwalimu akionya kuhusu tatizo la udini na ukabila.
Msomaji wangu mmoja kaniletea na kuniomba nimpe fikra zangu kuhusu hii kansa.
Nami nimejitahidi kuliangalia...
Mwinyi Mangara tafadhali soma historia hiyo hapo chini kutoka kitabu cha Abdul Sykes inayoendana na picha hiyo uliyotuwekea:
''Kamati hiyo ilikuwa na wajumbe wafuatao: Abdallah Rashid Sembe...
The pink diamond was found in October 1947 at the Mwadui mine in Tanzania, owned by Dr. John Thorburn Williamson. The uncut stone weighed 54.5 carats. The stone was cut by Briefel and Lemer of...
Jua la mchana lilikuwa linawaka juu ya Accra, lakini mitaa ilihisi kama imefunikwa na mawingu mazito ya hofu na kukata tamaa. Soko kuu lilikuwa na pilikapilika za kina mama wakipanga viazi na...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: "UAMUZI WA BUSARA" KITABU KUADHIMISHA MIAKA 50 YA KURA TATU 1958
Utangulizi
Kitabu hicho hapo chini, "Uamuzi wa Busara," mwaka nilikiandika mwaka wa 2008...
Wakuu
====
Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza.
Mnamo Agosti 15, 1960...
Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa...
Menai ni jina la mlango bahari uliopo katika bahari ya nchi ya Wales.Eneo hilo la mlango bahari limewahi kukumbwa na ajali nyingi za meli lakini hizi ajali tatu zimeandika historia ya kipekee...
Kutoka Makumbusho ya Taifa
Kabla ya vita vya Majimaji na kufahamika kwa mashujaa mbalimbali katika mji huu wa Songea eneo hili lilikuwa linafahamika kama mji wa Ndonde, jina hili la ndonde...
Maarufu kama The March of the 10,000.
Mwaka 401 kabla ya Yesu Kuzaliwa, Uajemi(Iran) ilikuwa ndiyo Dola kubwa zaidi duniani. Ikitawala kuanzia mto Indus Mashariki hadi bahari ya Mediteranea...
NILIKUWAPO ZANZIBAR KIBANDA MAITI, JAWS NA KIJIWENI MALINDI MIAKA 30 ILIYOPITA
Kitabu hiki, "Cade" cha James Hadley Chase nimekisoma miaka mingi sana iliyopita niko sekondari umri wangu kiasi...