Jukwaa la Historia

On JF:

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukiweka ushabiki pembeni, na kuangalia ukweli ni kwamba wazungu walishangaa Sana aina ya utaratibu na muundo wa kiserikali waliokuwa nao wahaya kipindi wanakuja kutawala miaka ya 1800, Ndipo...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Hakuna mtu yeyeto nchini eliyevileta na kuviruhusu vyama vya upinzani nchini ila Mwl. Nyerere rip kwa sababu zake. Hatuwezi kamwe kusema tunafuata nyao za Nyerere bila kuvikuza vyama vya upinzani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana. Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali? Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha...
7 Reactions
49 Replies
12K Views
JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchiniTanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi ambao walijuana kupitia mtandao...
15 Reactions
52 Replies
7K Views
"Tuliamuriwa kutoka nje ya jengo kupitia mlango wa bustanini na majasusi wa shirika la ujasusi la Idi Amin. Nje ya jengo kulikuwa na bustani nzuri iliyojaa miti midogo midogo na barabara zenye...
36 Reactions
112 Replies
38K Views
Mambo ya kuingia kwenye mifumo bila kujiandaa kunacost sana Taifa,mimi ni mtumishi wizara moja nyeti naomba nikiri kitu kua tunakurupuka mambo mengi sana.Hii swala la ku upgrade kutoka epicor 9 to...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bandari Salama ya Dar es Salaam imeonesha utendaji wa kuridhisha siku hadi siku. Katika mwaka 2017/18 Imeweza kupoke mizigo kiasi cha zaidi ya tani milioni 16. #HapaKazi tu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nimeona taarifa za kuuwawa kwa mmoja kati ya maofisa wa polisi Uganda Jambo hili limenipa tafakuri kidogo kutaka kujua historia ya kiutawala ama kiuongozi ya Uganda tangu kupata kwao uhuru...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar za leo Samahan Kuna siku mwalimu wa History alikuwa anatufundisha kuhusiana na Nyerere katika harakati za kudai uhuru. Katk mafundisho yake alisema. Kulikuwa na mkutano wa chama cha TANU...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Wadau na Wabobezi wa Historia ya mapambano ya Ukoloni katika Tanganyika kuna hawa Mashujaa Wawili Waafrika ambao kwa namna tofauti na Wapigania Uhuru wengine wao wali sababisha usumbufu mkubwa kwa...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Katika watu wanaoendana kiutamaduni ni wameru na wamachame Kwa mfano lugha zao zina maingiliano makubwa mno Koo zao zinafanana sana mfano urasa,ndosi, nyari nk Kuchapa kazi n,k Kati ya wameru...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Kama ungepewa nafasi, ungetamani kitabu gani kichapishwe upya? Mimi nakumbuka vifuatavyo’ MIKATO MAKABURINI ALFU LELA ULELA WARIDI KISIWA CHENE HAZINA
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Aliwahi kuwa rais wa Iran 2005 mpaka 2013. Baada ya kuchaguliwa kuwa rais hakutaka kuhama kutoka katika nyumba aliyoishi. Ilibidi ashauriwe kuhamia Ikulu kwasababu za kiusalama. Alipofika ikulu...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
CCM wanafanya hesabu hawapati jawabu hivi sasa na wakiangalia muda unatoweka kwa nguvu huku Jumuiya za kimataifa zikiwakodolea macho. Magufuli anaikimbia Ikulu ya Magogoni. Wengine wakipita Mkoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Upande wa Kusini wa Afrika inajulikana kwa jina maarufu kama Afrika ya Juu. Ukisoma kwenye maandiko na vitabu mbalimbali vya kihistoria wanasema juu ya Misri ya Juu na Misri ya chini. Niweke wazi...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom