Jukwaa la Historia

On JF:

MIAKA 20 BILA NYERERE: MACHACHE KUTOKA HISTORIA YA SAFARI YA KWANZA YA MWALIMU NYERERE LINDI 1955 Kumbukumbu ya Miaka 20 bila ya Baba wa Taifa imeadhimishwa leo mjini Lindi lakini si wengi...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWALIMU MTU WA WATU 4 Mwalimu ameingia kaburini kama mtu aliyekuwa hana majivuno si kwa cheo chake au elimu yake. Huyu ndiye Mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWALIMU MTU WA WATU 3 Mwalimu kama vile alivyokuwa bingwa wa kupanga mikakati katika mchezo wa siasa dhidi ya mbinu za Gavana Edward...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
JOSEPH STALIN NA VLADIMIR PUTIN, NI WAJEURI, WABABE NA MIAMBA INAYOFANANA URUSI, NI STALIN ALIYEINGIA IKULU YA KREMLIN KWA NGUVU, NA NI PUTIN ALIYEINGIA KREMLIN KWA KULAZIMISHWA LAKINI ANAYETAMANI...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
WATAFITI KUTOKA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MWALIMU NYERERE MAGOMENI WALIPONITEMBELEA Jana Maghrib mimetembelewa na maofisa wawili kutoka Kumbukumbu ya Nyumba ya Mwalimu Julius Nyerere, Bi. Gilago...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWALIMU MTU WA WATU 2 Mwalimu alikuwa mtu kutoka bara, Mkristo Mkatoliki. Alianza siasa hasa za kudai uhuru wa Tanganyika katika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
HOTUBA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MBELE YA WAZEE WA DAR ES SALAAM DIAMOND JUBILEE HALL TAREHE 5 NOVEMBA, 1985 Tarehe 5 Novemba, 1985 kabla hajastaafu urais, Baba wa Taifa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
"Kamuzu Banda alizaliwa karibu na Kasungu, Malawi iliyokuwa wakati ule sehemu ya eneo lindwa la Afrika ya Kati ya Kiingereza (baadaye Nyasaland). Wazazi walikuwa Mphonongo Banda na Akupingamnyama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MOHAMED SAID AKIELEZA ALIVYOFIKIA KUANDIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA https://www.facebook.com/100022121633704/videos/342910389789679/?sfnsn=mo&vh=i
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I have been reading history books, but in sum ending up in despair and unsatisfied! I happened to be enthusiastic in thoroughly studying the history of Tanganyika, call it Tanzania as it is, its...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hilo Raia Mwema la leo tarehe 9 Oktoba 2019 TOLEO MAALUM LA MWALIMU NYERERE Balozi Abbas Sykes anaeleza toka siku ya kwanza 1952 Nyerere kenda nyumbani kwao Mtaa wa Stanley na Sikukuu kaongozana...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWALIMU MTU WA WATU 1 Miaka 20 iliyopita baada ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nilimwandikia taazia...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu natumai nyote mu bukheri wa afya, Nianze kwa kuwasabahi. Mimi nimekuwa nikisoma thread zenu pamoja na michango mbalimbali za wadau. Leo nabisha hodi kwa kuwashirikisha jambo hili la...
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Leo alfajir nilikuwa napitia maktaba yangu nikakumbana na shajara (diary) yangu ya 1991. Hapo juu ni ukurasa wa tarehe 9 May. Huyo niliyemtaja kama, ‘’Ahmed,’’ ni Ahmed Rajab wakati ule alikuwa...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika hotuba hii alielezea mpango wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano. 1964-1969.
2 Reactions
11 Replies
3K Views
41 years ago in 1978 A.D, arguably one of the most well respected African leaders of the era, President Jomo Kenyatta of Kenya, suffered a heart attack and died at the State House in Mombasa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwaka 1958 Mao alitangaza maadui wanne wa taifa. Nzi, mbu, panya na Shomoro walitangazwa. Kosa la Shomoro lilikuwa ni kula nafaka. Sasa hawa shomoro hawawezi kuruka kwa muda mrefu bila kupumzika...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo jioni nimetembelewa na vijana wawili Muyuni Joseph na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu. Nimefanya mazungumzo na vijana hawa wasomi na waandishi wazuri ambao hatukupata kujuana ila katika...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Mazungumzo kuhusu barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu ili awe mtumishi wa wananchi wa Tanganyika katika kudai uhuru: Mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa gazeti la Drum...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
SANAMU YA BABA WA TAIFA ILIYO TAABAN YA AZIMIO LA BUSARA LA TABORA (UAMUZI WA BUSARA)1958 ''Wengi wamesahau athari na alama za harakati za TANU na uhuru; wanafaidi uhuru na matunda yake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…