Je, ni nini asili, sababu, chanzo cha Jina la Rufita?

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,347
3,033
Mimi ni mkazi, mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Tabora kutokea sehemu za Igalula

Mkoani kwetu kuna hili jina la RUFITA:

Jina hili limedhihiri katika maeneo/vitu vitatu kwa miaka mingi sana. Kuna shule ya msingi inaitwa RUFITA, pia kuna mtaa maarufu sana kwa miaka mingi kwa jina rasmi unaitwa mtaa wa RUFITA (kwa sasa unajulikana kwa jina lisilo rasmi kama mtaa wa Aden Rage) lakini pia kuna club iliyokuwa inamilimiwa na TRC (Tanzania Railways Corporation) nayo inaitwa RUFITA nafikiri kwa sababu eneo iliyopo labda napo panaitwa RUFITA

Je ni nini asili ya hili jina la RUFITA???

Naomba mwenye kujua anipe habari za jina hili asili, chanzo na sababu yake ...



CC: Mohamed Saidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom