Nimetizama film hiyo ya Thomas Sankara baada ya kuchukua hatua alizozichukua ikiwemo kufuta matumizi ya magari ya kifahari,kujikita katika kilimo,afya michezo haki za wanawake na mambo mengine...
If historians have to remember the main feature of Primitive Communalism during stone age and some eras of ion age, is that man failed to master his environment. He depended on the sorroundings...
Hapa duniani imezoeleka watu wabaya kufananishwa roho zao na wanyama ni kawaida utasikia “fulani ana roho ya kinyama sana” lakini je wafahamu kuna binadamu wana roho ya kikatili kuliko wanyama...
Siku zote tumekuwa tukisoma historia ya mtu mweus, vitabu vingi vimeelezea historia ya mtu mweus walau kidogo tumesoma historia ya Waarabu. Je, ushawahi kujiuliza kuhusu wazungu:
- Wametokea...
Alcatraz lilikuwa gereza hatari na maarufu zaidi Nchini Marekani. Hapa ndipo nyumbani kwa watukutu walioshindikana wa Marekani miaka hiyo.
Alcatraz inapatikana katika jimbo la California kwenye...
KUMBUKUMBU YA KUMBUKUMBU YA KARUME DAY MAHOJIANO: "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA AZAM TV MORNING TRUMPET 2015
Tuanze na picha ya Mzee Karume akiwa na vijana wa mji wa Dar es Salaam...
Hi Guys!
Kuna mimea ya aina nyingi na kila mmea unatabia zake tofauti tofauti kama vile tulivyo sisi binadamu au viumbe wengine. Mimea na yenyewe ina hisia na inasikia joto au baridi kama viumbe...
ULIWAHI KUSIKIA HII?
Pichani ni Kengele ya Umeme Inayopatikana Katika Maktaba ya Oxford,
Inafahamika kwa jina la OXFORD ELECTRIC BELL wengine huiita CLARENDON DRY PILE.
Kwa Mara ya kwanza...
Ugonjwa huu uliwai kuibuka duniani mwaka 1918 ambapo uliua watu takribani milioni 50 duniani, ulikuwa unaitwa Flu Influenza epidemiki H1 N1 ambapo wanasema ulianzia Uhispania na China baadaye...
KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu.
Kila mwanamke anaweza...
Mnamo miaka ya 1988 Mkoa wa Kagera ulikumbwa na janga la UKIMWI, wakati huo hakukua na elimu yoyote juu ya maambukizi na jinsi ya kujikinga, hakukuwa na kindomu hata watu waliotahiliwa walikuwa...
KABURI LA BI. TITI MOHAMED, KISUTU
Siku tatu hizi zimekuwa ngumu sana kwangu na naamini na kwa wenzangu wengi tuliokulia Dar es Salaam kwa kuondokewa na wapenzi wetu.
Juzi nikiwa nimesimama...
Marehemu Ndugu Edward Moringe Sokoine alizaliwa tarehe 01.08.1938.
Alifariki tarehe 12 Aprili 1984 katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Wami-Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro...
MAULIDI SHEIN MWANAMAPINDUZI, ''TRADE UNIONIST'' NA MWANA-ASP...USHAMSIKIA?
Mazishi yana hulka ya kuwakutanisha watu waliopoteana kwa miaka.
Leo nimebahatika kukutana na Mzee Maulidi Sheni sasa...
Nafahamu aliwahi kuwa rais huko Zanzibar lakini sina taarifa nyingi za kumuhusu
1. Historia yake ya kuzaliwa, makuzi na elimu yake
2. Historia yake kwenye siasa
3. Kwanini alitawala kwa miaka...
Tanzania : The Quiet Revolution : Part 1
Right after the indepedence of Tanganyika and revolution in Zanzibar, leaders of Tanzania felt of the need to build a strong foundation for a united one...
Chinese to English Subtitling Services are the best ones as it helps in providing the best quality of output for the easier communication of the audience to the video that is being displayed. This...
Ilikuwa ni ijumaa ya September 12, 2008 jioni ya saa kumi UTC ambapo ilitokea ajali mbaya ya treni ya Metrolink 111 mjini Chartworth, California US iliyosababisha vifo vya watu 25 na majeruhi...
Umaarufu wa box hili ulianzia katika mtandao wa kuuzia na kununua bidha wa eBay ambapo Kelvin Mannis aliliweka kwa ajili ya kuliuza mtandaoni humo September 2001, yeye alilinunua kwa mwanamke...